Ni wajibu wako wewe Mtanzania

Ni wajibu wako wewe Mtanzania

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,068
Reaction score
1,268
Watanzania wenzangu,
Tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu ya maandamano ambayo tunatakiwa kuungana kwa pamoja kuonyesha sauti yetu kwa watawala na mshikamano mkubwa. Maandamano haya ni jibu la mshikamano wetu wa kumwambia aliye madarakani, dunia, na viongozi wetu kuwa hatutakubali tena ukandamizaji wa haki zetu, mazingira duni ya kisiasa na kimaisha yanayotupokonya haki, fursa, heshima, na utu wa Mtanzania anayethubutu kuhoji au kupinga utawala wa kiimla usio na mwelekeo chanya kwa wananchi wa Tanganyika.
Ni wajibu wetu pia kushinikiza kuachiliwa huru kwa viongozi wa upinzani walioshikiliwa magerezani. Kuendelea kuwafungia gerezani ni kielelezo cha ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia. Tunaposimama kwa pamoja, tunatuma ujumbe wazi kuwa hatutakubali tena sauti za wananchi na wawakilishi wao kuzimwa kwa mabavu.
Ni wito kwa kila mmoja wetu kusoma na kuelewa haki zetu kikatiba. Maandamano haya ni sehemu ya haki yetu ya kidemokrasia ya kusimama kidete kwa ajili ya mabadiliko ya kweli na endelevu. Tuwe mbele kwa umoja, tukihakikisha ujumbe wetu unaheshimika na unafikishwa vyema kwa utawala ulioko madarakani na vyombo vya dola. Huu ndio wakati wa kuonyesha nguvu yetu ya kweli, kwa mshikamano na nia njema ya kuipeleka Tanzania mbele.
Tusikubali kuachwa nyuma au kusikika vibaya. Hakikisha ushiriki wako unalenga kuleta mabadiliko chanya kwa taifa letu. Tushirikiane kwa pamoja dhidi ya ukandamizaji wa haki zetu, kushinikiza kuachiliwa huru kwa viongozi wote wanaoshikiliwa bila sababu za kisheria, na kupinga ufisadi unaoendelezwa na walioko madarakani.
Tarehe 29 Oktoba tusimame kwa mshikamano, tukilia wito wa mabadiliko, haki, na demokrasia Tanzania yetu.
Amani, haki, na umoja ni msingi wetu!
 
Wewe ni kunguni senzi kabisa. Umuhimu gani wakati. mshindi ashajulikana? Zwaaaazwaa. Tunapotezewa fedha na muda wakati kinachofanyika ni kiini macho.
 
Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
 
Back
Top Bottom