Ni ------- wa kike

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Wengi wetu tumewahi kusikia mahanithi wa kiume yani wanaume ambao hawasimamishi ni aina ya wanaume ambao kamwe hawawezi chochote kitandani na ni tatizo ni ugonjwa ambao kwa baadhi unatibika lakini kwa wengine hakuna tiba kabisa

lakini kwa wanaume ulishawahi kukutana na hanisi-- wa kike,,.mimi nilishakutana naye dada mzuri kabisa mwenye kila sifa ya uzuri wa kike lakini meeting yetu ya kwanza ikawa ndio ya mwisho hakufeel chochote na alikuwa mwoga mithili ya mtu aendaye kunyongwa

sikuenjoy na yeye hakuenjoy chochote na akasema hajawhi kufeel chochote kwenye mapenzi kwa wakati ule sikujua ana tatizo gani lakini leo hii najiuliza je alikuwa ni ------- wa kike?
 
Umeshaliwa mkuu. Anakuzuga hana feelings ili usimzengee tena, hasa baada ya kujua we sio size yake au game lako halijamkolea. Angekuwa anajua hana hiyo makitu angekubalije kwenda kujivinjari na wewe?

BTW ulimpa shingapi???
 
kaka ulitumia kidole cha mwisho nin??
 
Mmhhhhh....hata siamini hadi nijionee mwenyewe
 
Ni zamani kidogo 1994 alikunywa fanta na keki zile za sokoni mbili basi mimi nilikunywa no 1 kiroba
 
Ni zamani kidogo 1994 alikunywa fanta na keki zile za sokoni mbili basi mimi nilikunywa no 1 kiroba

'94 ulishaanza kubeba zege, lol..
umejaza coaster ngapi mkuu, mshana jr?
 
Last edited by a moderator:
Me sijaelewa hapo ulipoandika-------- ndo umekusudia nini?
 
Huenda wewe ndo -------,hajajijua,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…