Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 507
- 469
Nawatafuta watu wenye uelewa, watu ambao ni siriaz kwenye hili... watu wenye passion ktk shauri.
Hodi tena wana jamvi, naamini kabisa kuwa hapa ni jungu kuu... hapakosi makoko..
Nianzie hapa kaka yangu yupo njia panda kwenye hizo gari tajwa hapo juu...
sababu ni hii hapo kabla passion yake ilkuwa kwenye spacio ila ishu inakuja kwenye suala la kule kuchoka haraka kwa spacio pamoja na unyanya lakini baya zaidi ni kule kukosa safety kabisa kwa nje hasa front pindi inapotokea emergence ya kugongwa ama kugonga na hasa kwenye foleni za hapa town.. jinsi linavyokuwa utadhani dereva alkuwa kwenye high way wkt ni kwenye foleni tu..
So kwenye ku-opt akajikuta ameangukia kwenye product za ULAYA ambayo ni TOURAN VOLKSWAGEN (1490Cc au 2000Cc) hivyo basi before hajamove forward kuna yale machache ya kushare na watu wale ambao hapo awali nilsema nawatatafuta, watu wenye passion, watu wenye uelewa na wapo siriaz kwenye terms zifuatazo;
1. vipi khs upatikanaji wa vipuri kwa gari za Volkswagen hapa Tz na hususani Touran?
2. Stability ya hili gari barabarani ipoje? mana kwenye dashboard linaonyesha linafika mpk 260/kmh
3.Durability kwa hizi brand za volkswagen hususan touran?