Ni volkswagen touran ama spacio??

Avensis ni gari nzuri sana (saloon),ina nafasi ndani, ipo comfortable nk. Zipo kuanzia cc 1900 mpaka 2500 ambapo kuna front wheel drive, rear wheel drive na all wheel drive. Pia sio common sana kama spacio, ist au passo lakini ina share parts na premio rava 4.Tatizo pekee kubwa nililo wahi kulipata ni kufa starter usiku lakini ilipatikana nyingine na kazi ikaendelea,
Ndio toyota anapowapiku wazungu hapo, reliability check ipo juu sana. Gari za mjerumani kibongo bongo ujipange sawasawa.
 
Ukiamua kununua Volkswagen, kubali gharama. Haya magari hayataki ujanja kuyaservice. Inatakiwa uweke oil na gear box oil inayoruhusiwa, la sivyo utalia na gia box mpaka mwisho.

Kama utakuwa unaservice kwa madealer wa Volkswagen, itakuwa poa zaidi. Sema bei yake si mchezo.
 
Na mimi naomba kujua vipuri vya Volkswagen vinapikana nchini?
volkswagen vipuri ni shida kupatikana hapa tz, lakini waweza kuagiza!ila hadi kuja kubadilisha vipuri kwenye Volkswagen kuna mawili;
1) Sio mtumiaji mzuri wa gari, upo rough sana na hulijali na wala hufanyi service kwa wakati
2) Baada ya miaka kadhaa kupita ndo unaweza kujikuta unabadilisha, mfano: plugs, air filter n.k
3) Umepata nalo ajali
Kama hujui kitu kinapatikana wapi usiseme hamna. Mimi nauza Spare za VW zote, tena Touran ndio ninazo nyingi sana. VW upatikanaji wa spare ni rahisi kuliko hata Nissan na Mazda.
 
Nimewahi miliki vw touran mwaka 2014 mpaka 2016 ni gari nzuri, ipo comfortable, speed juu body ni nzito quality ya hali ya juu sana sio kama chuma uchwara Toyota. Lakini siwezi kumshauri mtu anunue hiyo gari. Ilinifanya niyaogope magari ya mjerumani kwani ni ugonjwa wa moyo.

Wife aligonga kidogo taa ya mbele 1 ikapasuka sikuweza pata Dar wala Nairobi, nikapata south Africa mjini Johannesburg. Nilinunua pair kama laki 4 ya bongo,shock ups pia nilipata huko.

Ilipata tatizo la gearbox ku-change gears tatizo ambalo ni very common kwa vw za 2003 mpaka 2006 zinazotumia DSG transimition. Ilitakiwa nipate gearbox nyingine au niweke gari juu ya mawe. Pia ilikua na tatizo la check engine light kuwaka mara kwa mara, airbag erro light kuwaka nk .Uwezo wa kuagiza spare nilikua nao lakini ni shida, kama unanua vw basi at least iwe moja ya zile ambazo zipo common Tanzania kama toureg.
Ninachoweza kukwambia ulimiliki hio gari ukiwa na limited information. Moja ya VW cheap kumiliki ni Touran. Hivi unajua tofauti ya Touran na Golf mk5 ni body tu? Parts zote zinaingiliana ila inabidi ujue hio fact.
Mimi nauza parts za VW hizo shocks wewe umeagiza SA mimi ninazo (from Germany) nauzia watu hapa Dar.
Konachowaumiza wamiliki wengi wa VW ni mafundi uchwara ambao wanawauzia spares bei mara tatu ya dukani kwasababu wamiliki hamko informed.
 
Durability na stability sina mashaka kwa Volkswagen,ila swala la vipuli sina uhakika.
 
u r very right mkuu,taarifa ndio sahihi huku mitaani watu wanaishia kupigwa na kuingizwa hofu.swali nje ya mada :nahitaji sample ya gear box na rear cross member ya bmw 320i ya 2005 unazo?na bei imekaaje for both used and new?
 
Kwa VW sasa hivi hamna tofauti sana na Toyota ndio maana zimejaa sana. VW ndio gari nafuu kumiliki kwa European makes.

u r very right mkuu,kuna ukosefu wa taarifa sahihi huku mitaani ndio watu wanaishia kupigwa na kuingizwa hofu.swali nje ya mada :nahitaji sample ya gear box na rear cross member ya bmw 320i ya 2005 unazo?na bei imekaaje for both used and new?
 
u r very right mkuu,taarifa ndio sahihi huku mitaani watu wanaishia kupigwa na kuingizwa hofu.swali nje ya mada :nahitaji sample ya gear box na rear cross member ya bmw 320i ya 2005 unazo?na bei imekaaje for both used and new?
Hizo sio stock items, huwa naleta kwa order. Bmw yako ni E90 au E46?
 
  • Thanks
Reactions: ral
Kuna siku nilikuwa natafuta Gari ya kununua mtandaoni nikakutana na Marcedes Benz bei kama ya haya magari yetu ya Japan nikajisemea moyoni sasa ndo wakati wa mm kumiliki Benz lkn nilipoulizia kuhusu Service na spare nikafuta mawazo papo hapo!
 
Of coz...bei ya spare za Benz haiwezi kuwa kama gx110! Hata safety na comfort ya Benz sio sawa na gx110...Hata hadhi yako ukishuka kwenye Benz sio sawa na ukishuka kwenye corolla hence PRICE TAG.
 
Nimewahi miliki vw touran mwaka 2014 mpaka 2016 ni gari nzuri, ipo comfortable, speed juu body ni nzito quality ya hali ya juu sana sio kama chuma uchwara Toyota. Lakini siwezi kumshauri mtu anunue hiyo gari. Ilinifanya niyaogope magari ya mjerumani kwani ni ugonjwa wa moyo.

Wife aligonga kidogo taa ya mbele 1 ikapasuka sikuweza pata Dar wala Nairobi, nikapata south Africa mjini Johannesburg. Nilinunua pair kama laki 4 ya bongo,shock ups pia nilipata huko.

Ilipata tatizo la gearbox ku-change gears tatizo ambalo ni very common kwa vw za 2003 mpaka 2006 zinazotumia DSG transimition. Ilitakiwa nipate gearbox nyingine au niweke gari juu ya mawe. Pia ilikua na tatizo la check engine light kuwaka mara kwa mara, airbag erro light kuwaka nk .Uwezo wa kuagiza spare nilikua nao lakini ni shida, kama unanua vw basi at least iwe moja ya zile ambazo zipo common Tanzania kama toureg.
nimependa ushauri wako mkuu, safi sana
 
Back
Top Bottom