Ni vitu gani nyie wanaume huwafanya mvutiwe na sisi wasichana?

Naona makalio ni kigezo number one hadi sasa. Ngoja niwahi kwa mchina. lol
 
Naomba muwe wakweli, maana naamini kila msichana angependa kuujua ukweli huu.

kuna kupenda na kutamani. kutamani siku zote ndo the leading. Mtu hawezi kukupenda kwanza, bali anaanza kuktamani, mkishaanzisha mahusiano, pale upendo unakuwa. Inategemea na uwezo wenu kuukuza upendo huo, iwapo hamko busy kuhakikisha mnapenda ndo hayo, mtu akipunguza vilivyomvutia awali, mwanaume anasepa, lakini kama mtakuwa mmesha fikia hatua ya kupendana, hata kama utachuja upendo utabaki palepale.

watch out, siyo mtu anakuona siku moja anakwambia kakupenda unakubali, mwambie wewe umenitamani tu
 
(Mungu aepushie mbali) Kama umpendaye akiugua na hizo sifa zikatoweka kutokana na maradhi ya muda mrefu, mapenzi yatakuwa hayapo tena?

atatafuta kingine cha kujiridhisha, ila hiyo primary attraction itabidi akaitafute kwingine ili kuinusuru ndo. unaionaje hii imekaa vyema au?
 
Naomba muwe wakweli, maana naamini kila msichana angependa kuujua ukweli huu.

Mie napenda wale wenye 'ngorongoro crater' na halafu kule mahala kuwe ni kama 'bwawa' la kuogelea na maji yawe mengi na yeye mapovu, then wakati wa mchezo iwe inatoka ile sauti kama ya mtu anatwanga kwenye maji.........yaani chubwi chubwi chubwi.....hadi mwisho. Mkishamaliza mnapigwa faini na wenye nyumba ya kulala wageni kwa kuchafua mashuka yao. Upo hapi bibie. Hii hali huwa naipenda sana toka kwa aliye naye.

Halafu wewe mbona hujatuambia ule mtoko wako. Vipi jamaa 'aliteremka' mara ngapi. Hebu tujuze madam!!!!!!!!!
 
Naona makalio ni kigezo number one hadi sasa. Ngoja niwahi kwa mchina. lol
ngoja ongezea na hii hapa. Huwa ni pamoja na boops, sex legs, ****** yamepanuka kiasi yakiwa yameelekea kushoto na kulia pia chini kidogo kama vile yaanguka na African lips style. Naona kuna style za wazungu wanaiga kutoka kwa dada zetu Africa ili waweze kuwa na style za miili ya dada zetu. Wanachokifanya wanazipga sindano nyuso na ndimi ili wawe na kithembe kwenye ulimi na pia kwenye lips zinavimba kama vile mashine zenyewe duu wananitishia amani sana.
 
Mie napenda wale wenye 'ngorongoro crater' na halafu kule mahala kuwe ni kama 'bwawa' la kuogelea na maji yawe mengi na yeye mapovu, then wakati wa mchezo iwe inatoka ile sauti kama ya mtu anatwanga kwenye maji.........yaani chubwi chubwi chubwi.....hadi mwisho. Mkishamaliza mnapigwa faini na wenye nyumba ya kulala wageni kwa kuchafua mashuka yao. Upo hapi bibie. Hii hali huwa naipenda sana toka kwa aliye naye.

Halafu wewe mbona hujatuambia ule mtoko wako. Vipi jamaa 'aliteremka' mara ngapi. Hebu tujuze madam!!!!!!!!!

Kwa hii statment atakuwa ameingia mitini
 
Naomba muwe wakweli, maana naamini kila msichana angependa kuujua ukweli huu.
Mwanamke mvuto bana! afu mazingira kama pozi la avater yako......then there follows love, passion and later family.no more.
 
Mtoto wa kicolored Bambad maji ya kunde kaenda hewani sekunde natural color chotara mrefu mng'avu nga'vu uso safi usio chunusi-Inspector Haroun
 
Back
Top Bottom