Naomba kuja ni vitu gani vinahitajika ili niweze kujisajili BOLT

Bro imma

New Member
Oct 14, 2022
2
2
Habarini Wakuu?

Naomba kuja ni vitu gani vinahitajika ili niweze kujisajili BOLT, kama bodaboda na gharama zake ni kiasi gani ya hivyo vitu vinahitajika?

Msaada 🙏
 
Back
Top Bottom