Ni vitu gani nyie wanaume huwafanya mvutiwe na sisi wasichana?

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Naomba muwe wakweli, maana naamini kila msichana angependa kuujua ukweli huu.
 
ngoja waje...

Mwali wee, waje wapi! wenyewe hawajui hata wanachokitaka kwetu, wanababaika tu, mara hiki mara kile, akiona kingine, atasema nataka na hiki, ilimradi vurugu tu. Wanaume kweli ni viumbe wav ajabu kweli!
 
Nyie mwavutiwa na nini Zinduna? Naskia siku izi uzuri wetu ni pesa, hapo utampata yoyote yule. Mimi kuhusu navutiwa na nini kwa mwanamke sijui kwakweli let me think
 
Nyie mwavutiwa na nini Zinduna? Naskia siku izi uzuri wetu ni pesa, hapo utampata yoyote yule. Mimi kuhusu navutiwa na nini kwa mwanamke sijui kwakweli let me think

Na wewe Mabagala umeshindwa kutofautisha tui la nazi na maziwa, wanaowapendea pesa ni makahaba!
 
masaburi tu.................mana nikisema awe mkweli kwani hakuna wakweli in this era we leaving.
 
kuna moja jana alikuwa anakemea
wanao jichibua sababu anapenda
na anavutiwa na weusi wa mwanamke...
 
Ahahahahahaaaa..bi zinduna kweli leo umetuuliza swali gumu..
Ila na mie naomba nyie wanawake museme from the bottom of ur heartz....mnavutiwa na nini kwetu ukiondoa pesa na mali zetu???....
mie huwa sivutiwi zaidi ya kutamani muonekano wa miili yenu huku nikiendeshwa na hisia za utamu wa ngono nitakaoupata toka katika viungo vyako-vitamu nilivyovitamani be the hips, makalio, lips, sexy eyez skin colour n complexions...u name it
 
Kwani nyie ni vitu gani vinavyowavutia wanawake mkiwaona wanaume mpaka muanze ku-smile, mnajichekesha, kokenyeza kiana na kujipitishapitisha mbele ya mwanaume/wanaume ili uonekane, tena siku hizi uvumilivu umewashinda kabisa mnaanzisha wenyewe kututongoza live bila chenga
 
Na ndio maana ndoa nyingi hazina amani, maana sifa za nje pekee hazimkamilishi mwanamke!
Ila mwanzo zinakua ni sababu kubwa, alafu baadae ndio anagundua. si unajua wanatumia kichwa kile kidogo zaidi wakati wa kufikiria?
 
Back
Top Bottom