PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Hakuna waarusha,wote ni maasai.wewe ndo unachemka.iyo ni vita ya mtu na mtu
Juzi niliweka bandiko hapa juu ya mapigano kati ya wamasai na waarusha ugomvi ambao mpaka sasa unaendelea POLISI NA FFU wameshindwa kuwaamulia na sasa JWTZ wameingilia kati na mafanikio yanaonekana kwa mbali kwani silaha zinazotunika ni zajadi yaani MASIME,MIKUKI NA MISHALE ugomvi ni kugombea maeneo ya malisho ambapo ndani ya eneo hIlo kuna shule ya sekondari ya OLDONYOSAMBO wanafunzi wameshindwa kutoka eneo la shule kutokana na mapigano hayo nyumba na mali kadhaa zimeteketezwa kwa moto,watoto wamepotea pamoja na mifugo.NASIKITIKA SAMA MOODS WAKAITOA BILA SABABU NILIGHAFILIKA SANA.
We mbona habari zako kila siku za machafuko tu. tafuta habari angalau moja ya kawaida ulete.
Inaonekana as if you're blowing it out of proportions.Hayo ya kugombea maeneo ya malisho ni kawaida sana maeneo hayo,sasa unaposema "Ni vita Arusha",ndo hapo unayakuza zaidi.Anyways,tunatoa pole kwa waliopoteza maisha pamoja na mali zao kwenye mgogoro huo.Juzi niliweka bandiko hapa juu ya mapigano kati ya wamasai na waarusha ugomvi ambao mpaka sasa unaendelea POLISI NA FFU wameshindwa kuwaamulia na sasa JWTZ wameingilia kati na mafanikio yanaonekana kwa mbali kwani silaha zinazotunika ni zajadi yaani MASIME,MIKUKI NA MISHALE ugomvi ni kugombea maeneo ya malisho ambapo ndani ya eneo hIlo kuna shule ya sekondari ya OLDONYOSAMBO wanafunzi wameshindwa kutoka eneo la shule kutokana na mapigano hayo nyumba na mali kadhaa zimeteketezwa kwa moto,watoto wamepotea pamoja na mifugo.NASIKITIKA SAMA MOODS WAKAITOA BILA SABABU NILIGHAFILIKA SANA.
kama zip hizo?na kama yanatokea tusiseme?
Mkuu ni kweli nimehakikisha mwenyewe, maana nilienda mpaka eneo la tukio, majeruhi wengine wameletwa hospitalini Seliani
dunia ya sasa haiitaji maneno tu; wanasema "a picture is worthy a thousand words". Kama ulienda na kuona mwenyewe ungejaribu kupiga picha au kuweka ushahidi fulani. Bila picha watu wanaona siyo jambo zito kihivyo? Si umeona mambo ya kule Iringa? Bila picha Watanzania wangelishwa kila aina ya bs.. but the picture stands as a silent witness.
Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Arusha. Ningependa kukuthibitishia kwamba kuna tofauti kati ya Waarusha na Wamaasai.Hakuna waarusha,wote ni maasai.wewe ndo unachemka.iyo ni vita ya mtu na mtu
Tofauti yao ni kuwa wamasai ni wafugaji na waarusha ni wakulima lakini ni kabila moja. Soma historia ya wamasai utajua kuwa ni kabila moja lenye mila na dasturi moja.Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Arusha. Ningependa kukuthibitishia kwamba kuna tofauti kati ya Waarusha na Wamaasai.
cha kusikitisha hawa wanaopigana ni ngugu kabisa kwani wanaoana hivyo hapo wanaopigana ni mashemeji, wakwe, wajomba, kaka, baba, nk. Jana walimkataa mbunge wa Longido asiwepo katika kikao kati yao na uongozi wa mkoa. Ilibidi akae ndani ya gari. Eneo hilo linawagusa wabunge watatu; wa Monduli, wa Longido na wa Arumeru Magharibi. Hao wawili hawakuwepo eneo la tukio jana. Na sidhani kama wangetokea wangekubaliwa.Katika mambo ambayo yanaipasua serikali kichwa ni suala la wafugaji na mifugo yao.
tusije shangaa nchi nzima ikigeuka jangwa.
poleni wote mliokumbwa na masahibu haya.
Wamtumie Lema hawapatanishe si nasikia anakubalika Arusha nzima.