Wamunzengo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 810
- 321
Haya matatizo serikali ya ccm magamba ndo wameyalea. Sasa ngoja watu wajichukulie sheria mkononi wauane kwanza labda ndo jitihada za kuyatatua zitafanyika. Mmekalia kuzuia mikutano na maandamano ya CDM tu, matatizo ya kiusalama ya watu na mali zao mmeyapuuza. mpaka askari polisi wanawapiga risasi ng'ombe kule Muleba, serikali imetulia tu. Yaani ni kama vile hayawahusu. Shame on you sisiem. Tukiwaambia nchi imewashinda, mnakasirika.