Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana.

Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku invest kwenye kutengeneza na ku maintain watu smart, imekuwa vigumu sana kwa hila zote zinazofanywa na System kuweza kufanikiwa dhidi ya Chadema.

Same to CCM. Kwa kuwa kwa miaka mingi CCM haija invest kwenye kutengeneza watu smart kwenye chama chao na kuwa maintain kutokana na kukumbatia wanaojipendekeza, machawa na watu wenye elimu ya hapa na pale ( elimu ya kupika) Chama hiki kimeshindwa kabisa kukikabili Chadema katika uwanja wa siasa na hasa kwenye misingi ya kisheria ya Haki na Utawala Bora.

Kwa mtu ambaye hata hajawahi kwenda shule, huwezi kutegemea Msajili wa Vyama vya Siasa atafanya jambo ambalo hana mamlaka nalo kisheria kwa sababu tu ameelekezwa na wajinga wachache wa system afanye hayo.

Kitendo cha Msajili wa Vyama vya siasa kusema haitambui sekretarieti mpya iliyochaguliwa Chadema wakati hana mamlaka hayo kisheria sio tu kimemvua nguo bali kimemuaibisha kwa kiwango cha SGR kwa sababu ameonekana yeye ni kilaza na hakustahili sio tu kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa bali hata Jaji wa Mahakama Kuu.

Unapofanya maamuzi yeyote yale ni lazima ufanye maamuzi kwa mamlaka uliyopewa na kifungu cha Sheria fulani. Kwa bahati mbaya nchi hii ina Msajili wa Vyama vya Siasa na Jaji ambaye hajui hilo.😅

Kwa haya yanayofanyika napenda kukiri kuwa, ndo mana hila zote zinazofanywa dhidi ya Chadema zinafeli na kuzidi kuwapa Chadema umaarufu zaidi. Hata usiwe na akili kiasi gani hauwezi kufanya jambo ambalo huna mamlaka nalo kisheria.

Poleni sana CCM na wajinga wenu wanaofanya haya huko TISS. Kubalini tu nyakati zimewakataa. Labda muwageuze Watanzania wote kuwa matahira ndo huu upuuzi wenu mnaoufanya hautakuwa aibu.
 
IMG_20250517_001500.jpg
 
Nchi hii kweli umasikini wetu ni wa by design kama wanavyosema Heche na Lissu. Tuna bahati mbaya sana kuongozwa na vilaza na wapuuzi.

Ukishangaaa ukilaza kwa Spika wa Bunge Tulia Ackson unakuja kustaajabishwa na utabulalasa wa Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mtungi.
 
Ni rahisi sana kuwashinda kwenye sanduku la Kura.

Waendelee kususa.
 
Aliyekwambia Sheria na Haki ni kitu kimoja ni Nani ?

Mamlaka ikiamua kuna loopholes kibao inaweza kutumia na bado haki yako isipatikane (legally)

Case in point fuatilia Kesi ya Mgombea Binafsi ambayo ilikuwa kweli inakiuka Katiba na kweli Mahakama ikaona inapinga Katiba ila watu wakaja kubadilisha retrospectively...

The only way kushinda / kueleweka ni kuhakikisha wenye nchi wanakuelewa na wanakuwa upande wako, sababu in the end hakuna serikali mamlaka ambayo itaweza kufaidi utawala wake kama majority wanapingana nayo, wanaelewa kwamba wanakuwa short changed na wana uhakika kwamba mbadala ni tofauti...
 
Wewe utakuwa ni sehemu ya wajinga wanaoshauri huko kwenye mamlaka na ndo mana mbinu zote dhidi ya Chadema zinafeli na mnaaibika vibaya hadi kwa watoto wadogo.

Nadhani utakuwa umekimbia shule maana kama huelewi simple concepts za Rule of Law na Good Governance basi siwezi zungumza chochote na wewe.
 
Kwahio haya ni mashindano ya nani zaidi na kuaibishana na kuonekana wadogo wakati huo kodi ya mwenye nchi inatumika ?

Hivi kweli wewe unajua hata faida na dhima ya hivi vyama vya siasa na uongozi au unadhani ni kama mashindano ya WWE kumpata nani zaidi ?

Kwahio kuna Rule of Law hapa and Good Governance ?
Kwahio kinachoendelea ni Ushindi kwa CHADEMA na hizi ndio objectives ?; Watu kuonekana kama watoto ?

Narudia tena kukwambia, Sheria na Haki sio necessarily the same thing na unaweza kunyimwa Haki yako legally...,

Ukitaka mwisho wa haya maigizo ni kwa wananchi kuelewa na kushinikiza haki na viongozi ambao watawatumikia na hio ni pamoja kwa wao kuwaamini nyie kwamba mtakuwa tofauti na bora kuliko waliopo sasa.....;

less than that ni De Ja Vu...
 
Kwahio haya ni mashindano ya nani zaidi na kuaibishana na kuonekana wadogo wakati huo kodi ya mwenye nchi inatumika ?

Hivi kweli wewe unajua hata faida na dhima ya hivi vyama vya siasa na uongozi au unadhani ni kama mashindano ya WWE kumpata nani zaidi ?

Kwahio kuna Rule of Law hapa and Good Governance ?
Kwahio kinachoendelea ni Ushindi kwa CHADEMA na hizi ndio objectives ?; Watu kuonekana kama watoto ?

Narudia tena kukwambia, Sheria na Haki sio necessarily the same thing na unaweza kunyimwa Haki yako legally..., na mwisho haya maigizo ni wananchi kuelewa na kushinikiza kwa kuwaamini less than that ni De Ja Vu...
Kikubwa zaidi nilichokigundua kutoka kwako ni kuwa huna akili.
 
Unajua hata maana ya akili ? Ungefahamu hayo ungeelewa kila mtu ana akili, its all about reasoning na kama unamaanisha wisdom kwa hilo nakuzidi sababu naelewa I know nothing; hivyo kujifunza kila siku, tofauti na wewe ambaye hujui kwamba hujui hivyo kujilisha upepo na kuridhika na mediocrity...

Na kama mlipa kodi ni hasara kuwa na watu kama wewe sababu ni kama unapewa mwanasesere unacheza nao wakati watu wanaondoka na rasilimali zako (ikiwepo na muda)
 
Nakuonea huruma sana kama hiyo ndo reasoning yako. Ndo mana msingi wa hoja yangu unasisitiza huna akili.

Niishie hapo.
 
....dhidi ya Chadema zinafeli na kuzidi kuwapa Chadema umaarufu zaidi. Hata usiwe na...
Ikitokea ikawa hiyo CDm ukajaambiwa ni sehemu ya mfumo utafanyaje?
===
Vitu vimesukwa Sasa ikitokea, akajitokeza wa kuvisukurua shida inaanzia hapo.

Comey kafungua code....ogopa sana Namba 86!!
 
Wewe utakuwa ni sehemu ya wajinga wanaoshauri huko kwenye mamlaka na ndo mana mbinu zote dhidi ya Chadema zinafeli na mnaaibika vibaya hadi kwa watoto wadogo.

Nadhani utakuwa umekimbia shule maana kama huelewi simple concepts za Rule of Law na Good Governance basi siwezi zungumza chochote na wewe.
JARIBU KUZUNGUMZA ANAKUBALI NA KUKUUNGA MKONO MAWAZO YAKO YA KIPUMBAVU NA MIHEMKO.. LAKINI ANAKUPINGA ACHANA NAYE..au vipi msomi wa mchongo.!
 
Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana.

Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku invest kwenye kutengeneza na ku maintain watu smart, imekuwa vigumu sana kwa hila zote zinazofanywa na System kuweza kufanikiwa dhidi ya Chadema.

Same to CCM. Kwa kuwa kwa miaka mingi CCM haija invest kwenye kutengeneza watu smart kwenye chama chao na kuwa maintain kutokana na kukumbatia wanaojipendekeza, machawa na watu wenye elimu ya hapa na pale ( elimu ya kupika) Chama hiki kimeshindwa kabisa kukikabili Chadema katika uwanja wa siasa na hasa kwenye misingi ya kisheria ya Haki na Utawala Bora.

Kwa mtu ambaye hata hajawahi kwenda shule, huwezi kutegemea Msajili wa Vyama vya Siasa atafanya jambo ambalo hana mamlaka nalo kisheria kwa sababu tu ameelekezwa na wajinga wachache wa system afanye hayo.

Kitendo cha Msajili wa Vyama vya siasa kusema haitambui sekretarieti mpya iliyochaguliwa Chadema wakati hana mamlaka hayo kisheria sio tu kimemvua nguo bali kimemuaibisha kwa kiwango cha SGR kwa sababu ameonekana yeye ni kilaza na hakustahili sio tu kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa bali hata Jaji wa Mahakama Kuu.

Unapofanya maamuzi yeyote yale ni lazima ufanye maamuzi kwa mamlaka uliyopewa na kifungu cha Sheria fulani. Kwa bahati mbaya nchi hii ina Msajili wa Vyama vya Siasa na Jaji ambaye hajui hilo.😅

Kwa haya yanayofanyika napenda kukiri kuwa, ndo mana hila zote zinazofanywa dhidi ya Chadema zinafeli na kuzidi kuwapa Chadema umaarufu zaidi. Hata usiwe na akili kiasi gani hauwezi kufanya jambo ambalo huna mamlaka nalo kisheria.

Poleni sana CCM na wajinga wenu wanaofanya haya huko TISS. Kubalini tu nyakati zimewakataa. Labda muwageuze Watanzania wote kuwa matahira ndo huu upuuzi wenu mnaoufanya hautakuwa aibu.
Ndiyo maana wananunua wanachama
 
Kweli? Mh kwani mzee mgaya anasemaje?
 
kusota korokoroni kwa viongozi wa chadema ndio haswaa utamaduni wa chadema na hatimae kuachiwa huru kwa huruma ya rais ndio mazoea ya chadema.
kiufupi chadema kuna ulofa wa kisheria :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom