Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,841
Tatizo wasanii wa Tanzania hawaandiki mashairi yao na kuyaweka mtandaoni.
Hawajui kuwa msikilizaji au mnunuzi wa kazi zako za sanaa ni mteja wako, na mteja anahitaji huduma ya hali ya juu ikiwemo kupewa au kupata mashairi ya kimaandishi ya nyimbo unazoziimba.
Ndio maana zamani ukinunua original CD au tapes ulikuwa unakuta na karatasi ya mashairi ya nyimbo zote.
Sasa Bongo fleva hawajui haya mambo ila wasanii wa nje wanayajua sana.