jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake,
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba
- rostam ni mtu safi
- mramba ni panga la zamani lenye makali
- hakuna kama lowasa
- chenge ni hodari na mchapakazi
- wanaopata ukimwi ni kiherehere chao