Ni ushirikina mkubwa au ni nini?

Ni ushirikina mkubwa au ni nini?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,944
Reaction score
831,470
Mbona off target zimekuwa nyingi sana? Pamoja na kuendelea kushukuru kwa h*hivyo vidogo* lakini ni muhimu sasa kujiuliza kuhusu wingi wa off targets

Kwenye ngono pia kuna off target
Kwenye kabumbu pia kuna off target
Kwakuwa lengo ni on target..! Off target zikizidi Sana lazima watu wajiulize kuna nini
Wewe wakati unajitafuta walau upate kambuzi ka kafara wenzako wanachinja bomn zima la ng'ombe na kujifanya eti ni nyamachoma festival!

Imagine damu ya boma zima la ng'ombe! Na si maramoja!

Mbinu inayotakiwa sasa kutumika ni ile ya Goliath style! Kombeo na jiwe! Trump anaijua vema hii toka kwa Muiran
5af6da77-6939-4c21-a1a4-ff98c31b550f.jpeg
 
Nafikiri tuongeze mashambulizi kila upande kama muisrael anavopigwa kushoto Hezbollah, kulia houth, nyuma hamas katikati Irani, lazima afutike tuu
 
Dah nadhani inshu hapo siyo off target maana hata gilikipa akitoka golini tukafunga shida itakuja tena kwenye mechi ijayo maana hata mechi iliyopita tulifurahi baada ya refa kuita kati wakati ilikuwa off side 😁❌.

Tumaini letu tukaweka kuwa labda mechi hii itakuwa nzuri na nafuu sana kwetu, badala yake imekuwa afadhali ya ile mechi iliyopita.

TUOMBE NINI SASA?
1. Badala ya kuomba refa atupe upendeleo mpira uletwe kati hat@ kama ilikuwa kona iwe penalt basi inapaswa tupambanie kupata sheria nzuri za mchezo zitakazofanya kuwa na fair play katika kila mchezo haijalishi REFA NANI. Kwani kuwa wakati mwingine tunacheza na wenzetu wakiwa wamevaa suti badala ya JEZI utashindaje hapo?

Off target nyingine yaja. ❌
 
Hebu ziraili afanye yake halafu tuone tunamtoaje😂🙌🏿🏃🏿
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom