Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

HAYA BANA!......

tunaojua kusoma katikati ya mistari tumekuelewa!

Haya Bana!....

lakini mi nilisha kushauri finest.....''finest achana na huyo dem,finest achana nae kaka huyo dem sio mwenyewe,finest mshkaji wangu PIGA CHINI....''

we ukakataa...!unaona sasa?

UNAILAZIMISHA FURAHA SASA ...(kwa kuvumilia)

We nawe huna dogo?? Tushapigia misitari tayari wewe unataka kuharibu issue nzima
 
mmmhhhhhhhh
naogopa kusema neno.....
ni kweli kuvumilia ni vizuri - lakini - nimeona watu wengi wanavumilia - na maumivu hayo hugeuka "cancer" "ulcers" pressure etc.

kwanini lakini wapendanao baada ya kumuona umemuudhi mwenzio - usijirekebishe?? yaani imekuwa kama vile SERIKALI YA CCM INAVYOSHINDWA KUJIREKEBISHA NDIVYO WAPENZI WENGI WALIVYO"

solution: mwombe Mungu na kama unaona habadiliki - mh! life is very short - fanya lile ambalo utapata amani ya ukweli!!! KAMA VILE TUNISIA - WAMEPATA UTAWALA MPYA

nawakilisha :peace:
 
HAYA BANA!......

tunaojua kusoma katikati ya mistari tumekuelewa!

Haya Bana!....

lakini mi nilisha kushauri finest.....''finest achana na huyo dem,finest achana nae kaka huyo dem sio mwenyewe,finest mshkaji wangu PIGA CHINI....''

we ukakataa...!unaona sasa?

UNAILAZIMISHA FURAHA SASA ...(kwa kuvumilia)

Teamo eheee wengine mbavu zetu za kucheka ni ndogo sasa unapoandika hebu consider ili tucheke kidogo,
 
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu...

Mapungufu ya kibinadamu is just a mere excuse! Watu wengi wanapenda sana kulitumia neno hili, lakini mimi binafsi huwa silitumii...

Nikiwa kwenye mahusiano na mwanamke na akaanza kila kukicha maongezi yetu lazima yawe na neno "I'm sorry" - I simply quit without saving.

Ukimlea Mjusi anaweza kuwa Mamba na kukumeza! Kuacha wangapi ni "relative term" - Mbona kila siku unanua suruali au shati jipya - the same rule should apply in "REAL WORLD"! Siwezi kulazimisha nafsi yangu kukaa na usongo wa mawazo kwa kisingizio kuwa kuna siku mwenza wangu atabadilika - hiyo ndiyo mnaita uvumilivu - wakati sijazaliwa naye wala kulelewa naye, no. never

Mimi sina uvumilivu na sitakuwa na uvumilivu, hata kama ni kuwa na mahusiano elfu kumi before I'm six feet under, It is OK...

Waache wafu wazike wafu wenzao - usikae na kuishi na "mizoga" hoping that will be resurrected!
 
HAYA BANA!......

tunaojua kusoma katikati ya mistari tumekuelewa!

Haya Bana!....

lakini mi nilisha kushauri finest.....''finest achana na huyo dem,finest achana nae kaka huyo dem sio mwenyewe,finest mshkaji wangu PIGA CHINI....''

we ukakataa...!unaona sasa?

UNAILAZIMISHA FURAHA SASA ...(kwa kuvumilia)

Jamani jamani tumeshasema, tukishindwa kuvumiliana, basi tuvuliane (sio pendo lakini)
 
We nawe huna dogo?? Tushapigia misitari tayari wewe unataka kuharibu issue nzima

KWANI hapa kinajadiliwa nin wakuu?....

as far as i know najua kwamba tunajadili kuilazimisha furaha kwa KUVUMILIA....!
 
Mapungufu ya kibinadamu is just a mere excuse! Watu wengi wanapenda sana kulitumia neno hili, lakini mimi binafsi huwa silitumii...

Nikiwa kwenye mahusiano na mwanamke na akaanza kila kukicha maongezi yetu lazima yawe na neno "sorry" - I simply quit without serving.

Ukimlea Mjusi anaweza kuwa Mamba na kukumeza! Kuacha wangapi ni "relative term" - Mbona kila siku unanua suruali au shati jipya - the same rule should apply is "REAL WORLD"! Siwezi kulazimisha nafsi yangu kukaa na usongo wa mawazo kwa kisingizio kuwa kuna siku mwenza wangu atabadili - hiyo ndiyo mnaita uvumilivu - wakati sijazaliwa naye wala kulelewa naye, no. never

Mimi sina uvumilivu na sitakuwa na uvumilivu, hata kama ni kuwa na mahusiano elfu kumi before I'm six feet under, It is OK...

Waache wafu wazike wafu wenzao - usikae na kuishi na "mizoga" hoping that will be ressurected!
Was wondering where were you all this time
 
Michelle hapo juu control spidi kidogo tafadhali.....

Speed governor ime-expire.....hadi tukishalipa DOWANS ndo serikali italeta nyingine...

GY uhuru kwangu ndo una maana hiyo tafadhali usi-controll uhuru wangu....lol
 
Speed governor ime-expire.....hadi tukishalipa DOWANS ndo serikali italeta nyingine...

GY uhuru kwangu ndo una maana hiyo tafadhali usi-controll uhuru wangu....lol

hahaha...uhuru kwako unamaanisha kuwahi kuvulia bila kujaribu kuvumilia.....matumizi mabaya ya uhuru haya sasa
 
Just say it mpenzi najua kwamba sio kila siku tuko wote positive on what we are thinking, just go ahead and say it

ok sweet here i come..

naomba unijibu hapa familia baba, mama na watoto wawili
na mama ni mjamzito wa mtoto wa tatu..
baba ni mfanya kazi na baba ndo analeta kipaji nyimbani
mama hana kazi, ni mama tu wa nyumbani..

tatizo linakuja hapa, baba ni mlevi
anarudi nyumbani saa sita za usiku
akija chakula kiko mezani ana
kula halafu anaingia chumbani..

mama anasema we kwanini kila siku unachelewa nyumbani??
wanaanza kugombana, baba anapatwa na hasira ananza kumpiga mkeo..
watoto wanaamka ajili ya makele,
siku nyingine baba namfukuza huyo mama nje ya nyumba
usiku wa manane, lakini mama anavumilia
kwa sababu ya ahadi walizotoa kanisani na watoto wao..

siku ya siku imefika baba anamfukuza mkeo
kwa sababu amepata mwanamke mwingine
na mkeo hataki kuondoka ,
basi baba anamwacha mkeo na watoto
bila income yeyote yeye anapotea..

Je huyu mke alistahili kuvumilia kwa muda huo wote????
 
Back
Top Bottom