Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l
:clap2::clap2::clap2:
 
Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l

Kamata hizi kwanza

The Following 2 Users Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

GY (Today), The Finest (Today)

halafu u can either take them or leave them
 
Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l

Habari yake valuuuu??!!! Dah michelle umenipa hamu mie ahhh
 
Eti Dena ukishindwa kumvumilia, si unamvulia tu mambo yananyooka au?

Haswaaaaaaaaaa umenena mkuu. Umeona Michelle kanikumbusha Valuu mie na anajua huku hazipo yaani huyu bwana sijui yukoje
 
Back
Top Bottom