Ni ushamba Tanzania kushindwa kufunga taa za mitaa!

Ni ushamba Tanzania kushindwa kufunga taa za mitaa!

Morocco-Tegeta highway hakuna taa watu wanagongwa na magari kama mbuzi wa kafara *****
 
Hiyo miradi imeanzishwa katika miji mbalimbali.

Wanatumia solar power hawahitaji tena umeme wa tanesco.
Jambo hili wangeweza kufanya wanafunz wa Mwaka wa Kwanza wa Engineering lakn ndo vile
 
Back
Top Bottom