Ni ushamba Tanzania kushindwa kufunga taa za mitaa!

Ni ushamba Tanzania kushindwa kufunga taa za mitaa!

Hivi hata ktk hili hadi mh Rais alitolee kauli?!

Nchi yetu inazo nyenzo zote za kuweza kufunga taa za usiku mijini hadi vijijini. Nguzo tunazalisha wenyewe hapa kwetu, kwanini wataalamu wetu msilisimamie hilo?

Nchi ndogo kama Rwanda 99% ya miji na vijijini vyao wakati wa usiku hupendezeshwa sana na taa za mtaani.Kwa nini sisi tumeshindwa!

Kwa mfano, miradi yote ya barabara mkandarasi angewekewa kipengere cha kuweka na taa kila kijiji na miji na gharama zikajumlishwa katika malipo ya mradi husika.

Jamani jambo dogo kama hilo si lazima libuniwe na Rais Magufuli. Mengine ninyi wasaidizi wake jiongezeni!

Hatujachelewa sana-anzeni sasa.


Tatizo la watanzania ni kwamba wataalam wetu hawana uwezo wa kufikiri nje ya boxi....wao kila kitu mpaka waendeshwe na Mh. rais. Na rais akifanya hivyo wanamuita dikteta, yaani wana akili ya mgando sana kama wananchi wa kawaida tu.
 
Hamkawii kuzing’oa..
Wabongo akili zao wana zijua wenyewe
 
Wanafunzi hawana ata vitabu wewe unazungumzia taa tena za mitaani?....are you out of your site
 
TATIZO SI O MITI HATUNA UMEME WAKUTOSHA NI WATAWALA WETU , SUDAN WANATUMIA UMEME WA DIESEL LAKINI TAA KILA SEHEMU, KAMA VILE RAMANI ZA MJI HAKUNA MJI DAR ES SALLAM MJI AUJAPIMWA MAKOSA YA NANI?
 
Back
Top Bottom