Sizani kama ni umaskini kifupi niko njema kimtindo so vihela hela tumilioni 10-, 20 za kuhonga sio issue kwangu kakaUmasikini wetu ni kitu kibaya sana
I agree with you mkubwa nishahuri tu kuepuka hzo mambo maana naona kabisa mwisho wangu utakuwa mbayaYou are insecure
Hiyo ni roho ya kimasikini na demu anaoneam ana sura ya baba yake. Ndio maana unamnyanyasa na still nkung'ang'ania.Wadau kuna tabia imekomaa kwa akiri yangu kwa namna ambayo nimeshindwa kabisa kuikontrol au kuacha kabisa.
Kifupi ni kwamba nina girlfriend wangu niko nae for 5years sasa kwa up and down ila kuna hii tabia ya kuto kumuamini kabisa na kumletea ubabe kila saa na sometime kupelekea kumpiga mpaka anaharibika kabisa na kuanza kumuhurumia na kumtibu then tukishazinguana kama hivyo natamani kumuacha na kumnyang'anya kila kitu nilichomnunulia kwa maana ya vitu vyote vya ndani na duka nililomfungulia lakini nashindwa then tunaelewana maisha yanaendelea
Kifupi hana raha namnyanyasa sana ila still ananipenda sasa nimeona ni share na wadau ili muweze kunishauri kisaikolojia kuwa hzo tabia namfanyia huyo mtoto wa watu ni ushamba, wivu au nina roho mbaya?
Asanteni
Napokea michango yoyote ya kunijenga na kuni cancel kisaikolojia hata matusi pia nisije nikaishia jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuacha tabia za kishetani ni shida sanaHilo tu kama unaona hiyo ni tabia Mbaya kwann?? Usiache kama unauwezo wa kutambua na kuacha unaweza pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshagundua kuwa unachokifanya ni kibaya unashindwa wapi kukiacha? Acha ushamba mkuu.I agree with you mkubwa nishahuri tu kuepuka hzo mambo maana naona kabisa mwisho wangu utakuwa mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu mkuu thus why naomba ushauri wako ndg nisije kosa hii chombo kizembezembe ukizingatia nisha invest kwake vya kutosha na kumuacha siwezi maana tukizinguana mpaka napata stress mpaka naumwa yani
5yrs hamjaona tu, utamtoboa macho mtoto wa mwanaume mwenzio, halafu mwisho wa siku usimuoe uachie wengine scraper( no offence intended)Mkuu kuacha tabia za kishetani ni shida sana
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kuacha pombe for 6yrs sasa sijagusa ila hii ya ubabe na kuto kumuamini huyu binti nimeshindwa kabisa ingawa sijawahi kuona tukio la ajabu zaidi ya meseji tu za kutongozwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi niende labda nitapona i real want kuacha hizi mamboSidhani kama ni kati ya hayo.Nadhani ni pepo hilo, kaombewe!
Mimi ni wa upande wa nyanda za juu kusiniTuambie we ni wa kanda ipi ya kipolisi labda tutajua pa kuanzia
Kiongozi huyu mtoto ni mzuri sana aisee uwezi amin alaf she still young kwa hz mambo namletea yanHiyo ni roho ya kimasikini na demu anaoneam ana sura ya baba yake. Ndio maana unamnyanyasa na still nkung'ang'ania.