Ni upendo kweli?

Niliwahi pia kushuhudia mtu alitaka kujitoa uhai. Upendo ukigeuka unahisi dunia sio yako. Kama hujawahi kupenda kwa moyo wako wote ni ngumu kulielewa hili suala.

Hebu fafanua maana ya upendo!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Wewe ndo mwalimu,usingejua kama ni la darasani
<br />
<br />
hahahaha! Tunayoyajua yote ni lazima tuwe tunayafanya?
Samahani lakini kama nimekukwaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom