Ni upendo au anaibiwa?

Ni upendo au anaibiwa?

In terms of maupendo hakuna cku utachukua tochi kumlika kujua who is right hapo hyo 35 inaweza ikaja na mazuri au iende na maji. Afanye n kama anabet tu mbona mhindi anakula nyingi tu kwan asimwachie mwafrika tena mtanzania mwenzake labda anaeza akageuza meza mkeka ukatick. Na kwan hyo 35 kutoka tarime hadi wapi mkuu ndo twende sawa kwa hili
 
piga hesabu tu 35000 kutoka tarime inakupeleka mpaka wapi Tanzania hii.
 
nina maana yangu kuuliza hvo ndugu jaga kaya yaan nilitaka nitafte katikati ya hzo sehemu mbili sa kunambia hivo n kama barabara ni moja tu kutoka tarime hyo n akili mlalo na sipend
 
Kwa hiyo anaamini kabisa huko binti aliko hamna wanaume? Tena Tarime?

Na toka lini kwa Wakurua wazazi wakakataa binti asiolewe? Wakati shule kwao sio kipaumbele, na wanaozesha mabinti wakiwa na miaka 16 tu? Huyo binti anayesema wazazi wake wamekataa asiolewe haoni haiingii akilini?

Ukweli ni kwamba, huyo binti atakuwa "HAOLEKI" kwa mazingira aliyopo kwa sababu mbalimbali.

Sababu zinaweza zikawa ni hizi:
1. Kwao ni wachawi sana mpaka panaogopwa.
2. Kwao wana magonjwa ya kurithi ndo maana wanaume wanapakimbia.
3. Ni kicheche sana mpaka wanaume hawamtaki kumuoa.bali wanamchezea tu.
4. Kwao wana nuksi, ukioa hiyo nyumba basi mikosi haiwezi kukuacha salama.
Haingii akilini binti yuko tu nyumbani, kisha eti adai wazazi hawataki aolewe!
 
[INDENT

sio wakurya, wajaluo.
 
Back
Top Bottom