Ni upendo au anaibiwa?

Ni upendo au anaibiwa?

Kwanza kabsaa jamaa aache utoto. Pili kama anaona anaibiwa iyo mil35 asafiri yeye kama yeye hadi tarime amuite dem sehem waonane kwanza live. Je akituma nauli afu dem aje ukute matako yote n ya kushoto utafanyaje kama sio kumuacha stendi mtoto wa watu. Na la tatu f35 sio ya kuwazia sana ndugu sa kama anajishaua na f35 mbona hataweza kumtunza sasa. Sometimes you have to risk some issues to gain.
 
"sometimes you have to risk some issues to gain". Nimekupata mkubwa.
 
Kwanza kabsaa jamaa aache utoto. Pili kama anaona anaibiwa iyo mil35 asafiri yeye kama yeye hadi tarime amuite dem sehem waonane kwanza live. Je akituma nauli afu dem aje ukute matako yote n ya kushoto utafanyaje kama sio kumuacha stendi mtoto wa watu. Na la tatu f35 sio ya kuwazia sana ndugu sa kama anajishaua na f35 mbona hataweza kumtunza sasa. Sometimes you have to risk some issues to gain.
eti mil 35 ila waja😂😂😂
 
Jamaa yangu amempata binti kutoka Tarime, walipatana kwa kukosea namba tu hawajawahi kuonana isipokuwa kuchati, kupigiana simu, video calls na kutumiana picha.

Jamaa anasema wamependana kweli mpaka wanatumiana sms za "sex chat" binti anasema wazazi wake hawataki aolewe, lakini yeye anataka kuolewa, kwa vile ameamua kuolewa basi jamaa amchukue waoane.

Jamaa amedata, na jinsi binti nae anavyoonekana kujali inaonekana kweli ni wife material kilichobaki ni binti atumiwe nauli aje.

Hapo ndo kwenye kasheshe jamaa anaogopa kutuma nauli, ila binti anasema kama hana nauli basi nikiipata nitakuja, jamaa anataka ajilipue, atume hiyo hela 35,000 binti aje waoane

Kuhusu kuwajulisha wazazi wake, atawajulisha akishafika kwa jamaa

Je, hapa jamaa atume nauli au asubiri binti atafute nauli aje mwenyewe, au aachane na mpango huo?

Ushauri wenu ni muhimu.
Anaeolewa ndio atoe nauli.
 
Kwani huyo jamaa yako, katika kufikiri kwenye suala la mapenzi huwa anatumia akili gani?

Akili Ya kichwa cha chini au kichwa cha juu.

Akitujibu hapo tutamshauri vizuri.
 
Back
Top Bottom