Ni upendo au anaibiwa?

Ni upendo au anaibiwa?

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,756
Reaction score
13,856
Jamaa yangu amempata binti kutoka Tarime, walipatana kwa kukosea namba tu hawajawahi kuonana isipokuwa kuchati, kupigiana simu, video calls na kutumiana picha.

Jamaa anasema wamependana kweli mpaka wanatumiana sms za "sex chat" binti anasema wazazi wake hawataki aolewe, lakini yeye anataka kuolewa, kwa vile ameamua kuolewa basi jamaa amchukue waoane.

Jamaa amedata, na jinsi binti nae anavyoonekana kujali inaonekana kweli ni wife material kilichobaki ni binti atumiwe nauli aje.

Hapo ndo kwenye kasheshe jamaa anaogopa kutuma nauli, ila binti anasema kama hana nauli basi nikiipata nitakuja, jamaa anataka ajilipue, atume hiyo hela 35,000 binti aje waoane

Kuhusu kuwajulisha wazazi wake, atawajulisha akishafika kwa jamaa

Je, hapa jamaa atume nauli au asubiri binti atafute nauli aje mwenyewe, au aachane na mpango huo?

Ushauri wenu ni muhimu.
 
Screenshot_20250204-102553~2.jpg
 
Jamaa yangu amempata binti kutoka Tarime,walipatana kwa kukosea namba tu hawajawahi kuonana isipokuwa kuchati,kupigiana simu,video calls na kutumiana picha. jamaa anasema wamependana kweli mpaka wanatumiana sms za "sex chart" binti anasema wazazi wake hawataki aolewe,lakini yeye anataka kuolewa,kwa vile ameamua kuolewa basi jamaa amchukue waoane. Jamaa amedata,na jinsi binti nae anavyoonekana kujali inaonekana kweli ni wife material kilichobaki ni binti atumiwe nauli aje. Hapo ndo kwenye kasheshe jamaa anaogopa kutuma nauli,ila binti anasema kama hana nauli basi nikiipata nitakuja, jamaa anataka ajilipue,atume hiyo hela 35000 binti aje waoane,kuhusu kuwajulisha wazazi wake,atawajulisha akishafika kwa jamaa, je hapa jamaa atume nauli,au asubiri binti atafute nauli aje mwenyewe,au aachane na mpango huo? Ushauri wenu ni muhimu.
Kama umempenda umuoe tu, hayo mambo ya jamaa sijui hivi sijui vile ya nini?
 
Ni ngumu sana kumpenda mtu ambaye hujamuona , ukae naye , tuongee naye , vipi kama anamatatizo ya nut kulegea amsini rasi , hapana kwa kwel ni ngumu sana, tuma io nauli umuone kwanza live alafu bint wa watu usimchukue bila ridhaa ya wazazi wake arifu
 
Ni ngumu sana kumpenda mtu ambaye hujamuona , ukae naye , tuongee naye , vipi kama anamatatizo ya nut kulegea amsini rasi , hapana kwa kwel ni ngumu sana, tuma io nauli umuone kwanza live alafu bint wa watu usimchukue bila ridhaa ya wazazi wake arifu
huenda binti ni kweli anataka kuolewa.
 
Back
Top Bottom