Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
kuna moja nilikuta tu haipo mkononi, nyingine wakati nafanya mazoezi gym niliivua nadhani wajanja wakatambaa nayo, nyingine ilikuwa inanibana nikaivua siku hiyo nilikuwa na mechi ya ugenini na timu moja toka Jolly wakati timu inaondoka ikairamba ile pete mezani na nyingine ilitumbukia kwenye sinki wakati nanawa ilinivuka pale mombo hotelini kile kichujio cha maji kilikuwa kibovu ikapitiliza
shughuli unayo.....