funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,649
- 21,520
hapo kwenye RED ..... kwenye maisha inabidi kushirikiana na kuchuma pamoja sasa kama mchumba nae ana direction nzuri kimaisha kwa nini msioane na kuendelea kutafuta pamoja kuliko kutafuta peke yako vikishapatikana ndio unaoa why msichume pamoja? muanzie toka hamna mpk mnapopataUmri sahihi unategemeana na jamii uliyopo,wengine huoa mapema kutokana na namna wanavyoishi,kwa mfano jamii ya wafugaji na wakulima huko vijijini huoa mapema kutokana na kuwa na kila kitu wanachoona kinawafaa katika maisha yao.
Kwa sisi watu wa mjini ni vigumu sana kuharakia kuoa kutokana na kutokukamilisha yale ambayo tumekuwa tumepanga kimaisha maana maisha ya mjini si ya kuharakia kuoa.
Kwa hiyo umri sahihi wa kuoa unategemea na namna hali ya sehemu uliyopo na maisha uishiyo na si suala la miaka kadhaa.