Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,592
- 23,209
Wazungu walifikiria nini kuishi na hawa wanyama ndani
Na kwanini hawakuishi na ngedere
Na kwanini hawakuishi na ngedere
Kumla kivipHuyu joto limepanda,kama angekuwa nayo kubwa unamla
🤣🤣🤣🤣🤣Kaka na wabariki kabisa msogee karibu niwamwagie mbege vichwani
Hii naona tumesusiwa asee🤔
Shindikanaa naona baada ya valentini ndio umeachiwa!shindikanaa Huyu huyu?
Semegi sasa ukiulizwa umejuaje, huoni utaleta vita ya 3 ya dunia!!😀😀View attachment 3243200🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
🤣🤣Sasa baraka gani hizo!! Baki na mikosi yako shindikana.Kaka na wabariki kabisa msogee karibu niwamwagie mbege vichwani
Tulia wewe😁🤣🤣Sasa baraka gani hizo!! Baki na mikosi yako shindikana.
Dah hapana , nilikua kidogo nimebanwa na kibarua shindikanaaShindikanaa naona baada ya valentini ndio umeachiwa!