Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,128
- 4,000
Siyo uungwana na ni ukatili mkubwa kutumia hii meme.
Inachekeaha ila jamaa alikuwa na uchungu sana. Imagine umeenda na jamaa yako kutafuta life China halafu auawe. Halafu mara Wachina waigeuza moment yako ya uchungu kuwa meme“Nnninesindwa kuvaelewa“
Nimejikuta nayatamka haya maneno kimoyo moyo.
Inatokea tu, ni kipindi kitapita tu na watasahau, gen z wanacheka kila kitu tuwazoee tu!Inachekeaha ila jamaa alikuwa na uchungu sana. Imagine umeenda na jamaa yako kutafuta life China halafu auawe. Halafu mara Wachina waigeuza moment yako ya uchungu kuwa meme
Gen Z mizinguo sana.Inatokea tu, ni kipindi kitapita tu na watasahau, gen z wanacheka kila kitu tuwazoee tu!