Ni Ujinga..

Ni Ujinga..

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Ni ujinga kufanya haya
1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov
2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu.
3.Kununua misumari nje ya nchi.
 
Ni ujinga kung'oa watu meno na kucha bila ganzi
 
ni ujinga kukojoa kwenye kibao kilichoandikwa "uckojoe hapa".
 
Ni ujinga kuvaa miwani yenye lensi ya kukuza unapokula ili chakula ukione kingi
 
Mi sina mbavu jamani.. tehee tehee

Na ni ujinga ukisalimiwa mara kadhaa na mtu wa jinsia tofauti kwa uchangamfu, ukafikiri anakutaka kimapenzi.
Ni ujinga
 
kujipulizia manukato wakati wa kupiga picha! ni ujinga.
 
Niujinga ukienda kula chakula mkhahawani kuiga walavyo wengine.
 
Back
Top Bottom