Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,663
- 56,993
Nashauri suala la mapenzi pawekwe vigezo vya mtu kutoa mawazo yake, ikiwemo
Awe na akili timamu na imethibitishwa na mganga mkuu wa wilaya
Awe amepita jeshini kwa miaka isiyopungua 20 na isiyozidi 30
Awe na uraia pacha wa Tanzania na Filipino, Tanzania na India
Awe amedeti na wanawake wasiopungua 100 na wasiozidi 250
Awe ameachika/kuachana ndoa zisizozidi 10 na zisizopungua 7
Awe na uzoefu wa kuugua magonjwa ya ngono yasiyopungua 14 na yasiyozidi 20
Awe amefumaniwa mara 30+++ na amefumania mara 50++ na atueleze alichukua hatua zipi, awe na documents za kuthibitisha hlo