Ni ujinga kuumia mpaka kukonda kisa mapenzi

Nyakati ngumu hazidumu. Hata Kama umeumizwa kiasi gani, ni sahihi kulia, kusononeka, kukonda, lakini yote haya yataisha kadri muda unavyosonga mbele.
I was badly heartbroken once na msichana niliyempenda kweli kweli, nilidhani nisingeweza kuishi tena bila yeye, good news ni kwamba I was wrong na muda ulinisaidia nikapona.

Ukiona mtu anateseka na kuumia kisa mapenzi usimkebehi, ni kweli yanauma aiseeh...!
 
kuna mkurugenzi wa shirika flani kubwa sana la serikali naskia aliwahi kutendwa na ikawa mwanzo na mwisho wa kua na mahusiano yanayoishi....

saivi akipata upwiru anatafuta pisi kali anaipelekea moto, anaipa chake halafu yanaisha kiroho safi, hakuna kutaftana tena.....
 
Ni rahis sana kuwa hivo ukiumizwa hisia zinakata
 
Nyakati ngumu hazidumu. Hata Kama umeumizwa kiasi gani, ni sahihi kulia, kusononeka, kukonda, lakini yote haya yataisha kadri muda unavyosonga mbele.
I was badly heartbroken once na msichana niliyempenda kweli kweli, nilidhani nisingeweza kuishi tena bila yeye, good news ni kwamba I was wrong na muda ulinisaidia nikapona.

Ukiona mtu anateseka na kuumia kisa mapenzi usimkebehi, ni kweli yanauma aiseeh...!
Bora umesema ukweli yanauma sana
 
kuna mkurugenzi wa shirika flani kubwa sana la serikali naskia aliwahi kutendwa na ikawa mwanzo na mwisho wa kua na mahusiano yanayoishi....

saivi akipata upwiru anatafuta pisi kali anaipelekea moto, anaipa chake halafu yanaisha kiroho safi, hakuna kutaftana tena.....
Wanachokosea wengi unakuta mtu anapenda mpaka anajisahau kwamba aliyenaye ni binadamu anaweza kubadilika wakati wowote anamuamini kwa asilimia zote , mifano ipo mingi hadi kwenye vitabu vya Dini haswa wanawake ndio tunatakiwa tuishinao kwaakili
 
Nyakati ngumu hazidumu. Hata Kama umeumizwa kiasi gani, ni sahihi kulia, kusononeka, kukonda, lakini yote haya yataisha kadri muda unavyosonga mbele.
I was badly heartbroken once na msichana niliyempenda kweli kweli, nilidhani nisingeweza kuishi tena bila yeye, good news ni kwamba I was wrong na muda ulinisaidia nikapona.

Ukiona mtu anateseka na kuumia kisa mapenzi usimkebehi, ni kweli yanauma aiseeh...!
Sasahivi naimani umekuwa mkomavu
 
Ujumbe wangu kwa wote wanaopitia maumivu ya Mapenzi, usiteseke wala usiumie kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye maisha yako haujazaliwa naye huyo usitumie nguvu nyingi kwake.

Akitaka kuondoka mwambie nenda milango iko wazi, kumpata mwingine unaweza ila hauwezi kumpata kama mimi, mimi ni madini adimu kama Tanzanite Duniani kote yanapatikana sehemu moja tu.

Jipe umuhimu kwenye fikra zako alafu tafuta chombo kipya.
Mapenzi yanauma hasa kwa MTU uliyempenda na uka.invest muda na hela nyingi let say miaka mi3/4 kisha binti huyo akakuacha ukiwa kwenye process za kumuoa

Utaumia Sana na hutoficha hisia..utajikuta hata msosi haupandi..achana na pain ya mapenzi
 
Haujui mtu kapewa nini unaongea.kuna wengine uwa hawaachiki
 
Ujumbe wangu kwa wote wanaopitia maumivu ya Mapenzi, usiteseke wala usiumie kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye maisha yako haujazaliwa naye huyo usitumie nguvu nyingi kwake.

Akitaka kuondoka mwambie nenda milango iko wazi, kumpata mwingine unaweza ila hauwezi kumpata kama mimi, mimi ni madini adimu kama Tanzanite Duniani kote yanapatikana sehemu moja tu.

Jipe umuhimu kwenye fikra zako alafu tafuta chombo kipya.
Kuna wengine ni irreplaceable brother, yani hakunaga copy au original watu hutofautiana na kila mmoja ana lafha yake,usijidanangaye na usitudanganye,

Pigania penzi kama sio wako hamtakua pamoja ila katika kupigania kama ni wako atakua tu wako
 
Mtu hajawahi hata kurushiwa jini mahaba tayari ashaanza kuja kujitamba huku!,wahenga tujikalie kimya tu ila naimani soon tutaona kidaka tonge cha mtu humuhumu...[emoji23]
Hakuna cha jini wala nini , ni ujinga kupenda kwa kupitiliza hadi unajisahau unazani huyo uliyenaye ni nafsi Pacha na wewe
 
Mapenzi yanauma hasa kwa MTU uliyempenda na uka.invest muda na hela nyingi let say miaka mi3/4 kisha binti huyo akakuacha ukiwa kwenye process za kumuoa

Utaumia Sana na hutoficha hisia..utajikuta hata msosi haupandi..achana na pain ya mapenzi
Mtoa mada Bado mgeni kwenye game la mapenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom