JaidenG
JF-Expert Member
- Oct 4, 2021
- 763
- 1,074
Ujumbe wangu kwa wote wanaopitia maumivu ya Mapenzi, usiteseke wala usiumie kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye maisha yako haujazaliwa naye huyo usitumie nguvu nyingi kwake.
Akitaka kuondoka mwambie nenda milango iko wazi, kumpata mwingine unaweza ila hauwezi kumpata kama mimi, mimi ni madini adimu kama Tanzanite Duniani kote yanapatikana sehemu moja tu.
Jipe umuhimu kwenye fikra zako alafu tafuta chombo kipya.
1.mazoeaShida ya mapenzi ni moja tu, ADDICTION, Humans individuals tuko wabinafsi angali mbegu.
Subconsious mind inafanya kazi kwa siri na Moyo kwamba" She is mine" lakin consious mind haijui ila itakuja kujua siku consious mind itakapo jua kwamba nampoteza huyo mamsi subconsious mind na moyo vina kuhoji," inamaana ulikuwa hujui kama huyo ni wako na ndo unampenda kuliko wote!?" na mengine mengi nafsi yako inakukataa moyo unamdai wake,
2.ukimpenda mtu kwq dhati yan ile sana sio kirahisi kama unavosema hapo
3.vitu ulivyofanya kwake au ulvojtoa au kumfanyia
NB: mostly ni vitu ulvojitoa na kumfanyia ndio huwa vnachanganya sana akil hukula vzur ulmlisha vzur, hukuvaa vzur ulmfanya apendeze n. K so hv ndio huchanganya akil sana na kuleta lawama kichwan kua bora hata ungejfanyiaga mwenyew tuh hivo n men mostly n hivo kwa wadada wao mazoea tuh japo wapo wengn walio fany hivo v3 pia
YOTE KWA YOTE KWA MEN UKIWA KWA R+S PLAY SAFE SANA KAMA UKO REAL KWA HUYO MTU BE U KWANZA KWA LOLOTE NO MATTER WHAT masual ya kumtumia hela ale vhips kuku s bora mpike chips nawe unenepe nawe😂😂akiomb hela ya nywele nawe aiku sema umekwama watak ya kunyoa hata kama salary n 3M kumnunulia m tv, bufa sjui mann nunua kwako ndan aje atazame akhtaj simu chukua ya ndugu mpe mnunulie huyo ndugu simu mpya😂kama unacheza mdondo hv kikubwa playsafe jfunze kusema no hata kama n sure hii kitu husaidia