Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Mmh makubwa haya! Kumbe hata babu Sitta ni mzinzi?
 
Hivi Sitta kumbe ni Spika. Mi nijua hili bunge la sasa halina spika. Kwahiyo na yule mzanzibari alikuwa spika wa muda ee! I mean Pandu Kificho.
 

nimeintunza kwa sababu za msingi
 
Hivi Sitta kumbe ni Spika. Mi nijua hili bunge la sasa halina spika. Kwahiyo na yule mzanzibari alikuwa spika wa muda ee! I mean Pandu Kificho.


Pole bibie na wewe ni kimada wake ulioachwaa nini! maana unajua mengi kumuhusu Sita.
 

Hivi munatokwa nini na mapovu kiasi hicho? CCM ni nani aliye msafi....? Tupende tusipende hayo ndiyo maisha ya viongozi wa CCM kwa ujumla wao hivyo maadamu tumrridhia watuongoze, basi naomba TUWAVUMILIE. Labda kama mleta hoja una agenda nyingine.Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Ndiyo hayo sasa
 
Hivi alishatoka kwenye nyumba aliyokuwa anapangiwa na serikali kwa dollar 12,000 kwa mwezi kama Spika wa Bunge?
 
Kwa kifupi Six nae amezitafuna pesa za Umma kwa mbinu mbali mbali Hana Mfano mzuri wa kuigwa hata Leo kavulunda Bunge la katiba huyu Six ni wa kutizamwa kwa jicho la 3 Maana anaonekana Ana Tamaa sasa tuwe makini asije akaweka masilahi yake Binafsi kwenye katiba hii
 
tatizo wabongo bwana hat2sem yetu,mbna bab ako hela ya mtaro wa mtaa sh.50,000 anapga ganj la 23,000 husem?vimada ni wake we wanakuhusu nin?vp labda kama dada au mama angekuwa nae ungesema?FURSA
 

Hukumbuki yaliyo mpata Bill Klington rais wa Marekani alipo kuwa na uhusiano wa kima penzi na sekretari wake.dunia ili mjadili sana tu
 
Kwa hali hii, sitegemei lolote bunge hili maalum
 
Hukumbuki yaliyo mpata Bill Klington rais wa Marekani alipo kuwa na uhusiano wa kima penzi na sekretari wake.dunia ili mjadili sana tu

Mkuu sidhani kama marekani walishawahi kuwa na Rais wa namna hiyo..mkuu KIMA PENZI ndio lugha gani??
 
nimeintunza kwa sababu za msingi
Mboni ripoti hii ni kitambo tu
Ililetwa humu mjengoni wakati akiwa spika na kamanda wa vita dhidi ya mafisadi.
Katika kipindi kile, ilionekana kama propaganda dhidi ya kamanda jee kimejiri nini hadi kuirudisha tena mjengoni?
Wengi wenu mlimsafisha na mliwatuhumu vibaya wale ambao walikuwa wanayajua haya lakini kwa vile mlimuona ndiye mkombozi wa inji hii hamkutaka doa lolote lile liingie kwenye sifa zake kuna taarifa zililetwa hapa kuhusu nd huyu kulazimisha ujenzi wa ofisi ya spika iliyogharimbu mamilioni jimbon kwake as if alikuwa na uhakika wa kuwa spika maisha yake yote. kwa unafiki na upofu wa baadhi yetu hoja zote hizo zilitupiliwa mbali. JEE KUNANI SASA???
Wacheni unafiki a spade will always be a spade and mh sitta has and will always remain a farce in politics
 
Samwel Sitta kila anapopata nafasi ya kupanda jukwaani anajipigie debe la Urais kwa tiketi ya kuwa yeye ni mwadilifu na kumponda Lowassa kwa ufisadi wakati yeye mwenyewe ni fisadi. Ushahidi wa ufisadi wake mmojawapo ni posho kwa wabunge wa katiba litakaloendelea bila UKAWA wakati ni batili. Katika hili ameshajipotezea sifa ya kugombea urais 2015.
 

Huwezi toka malezi ya CCM ukawa mwadilifu! Sita angelikuwa mwadilifu asingeliamua kuendelea na bunge la katiba wakati kuna mgogoro ambao kwa kiwango kikubwa ameuleta yeye kwa ku-mismanage bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…