-Alifilisi CDA- Mkuu heshima sana, yaani hizi ndio tuhuma za kumfanya Sitta kuwa hafai? That is all?
FMEs!
Eti wasafi ni hao ambao wanatumbua pesa za maskini bila kuona aibu? Nyumba ya dola karibu 10,000 kwa mwezi kwa Tanzania sio tu ni ufisadi wa ngazi ya juu bali pia ni ukichaa.
Hawana tofauti na hao wanahangaika kwenye hospitali za Wazungu kwa checkups na kutumia mabilioni huku Watanzania wanakufa kwa malaria. Kisha eti wanajiita ni wapambanaji wa ufisadi.
Tanzania imejaa wajinga ambao wanayumbishwa na viongozi bomu ambao wamekuwa wakiliibia taifa miaka na miaka bila kuwajibishwa.
Mizee inaongozana Ulaya na familia, wapambe, walinzi, wapishi kwa ajili ya checkups tu, kweli hili taifa gani?
-Alifilisi CDA
-Alipokuwa TIC alitumia mabilioni ya serikali kutengeneza nyumba yake
-Ananunua dawa eti ya milioni mbili kwa receipt fake
Jamaa ni jambazi tu kama akina Lowassa, RA na wengine.
Sheria gani zaidi ya ujambazi tu?- So far yote uliyoyasema yamo kwenye sheria na katiba zetu, sasa labda katiba ndio mbovu kuwa mzeee sio kuvunja sheria kwenye katiba yetu, unless kama una lingine mkuu! Nyumba kulipiwa ni uamuzi wa serikali sio kiongozi, kusafiri nje na wasaidizi ni katiba sio uamuzi wa kiongozi.
- Mind you kuwa mijinga inaweza kuwa ni pamoja na kulazimisha hoja hata isipokuwepo.
FMEs!
Sheria gani zaidi ya ujambazi tu?
Wameshika hatamu na wanatumia manguvu kupitisha sheria za kulinda uwizi wao.
Halafu wanakuja kutudanganya wananchi, eti ni wasafi, ujinga mtupu. Kweli wewe msafi utatumia mamilioni kwenda kufanya checkups nje huku wananchi wako wanakufa kwa malaria?
Huhitaji hata kuwa na O-level kujua kwamba huo ni ukichaa na usio na molarity hata chembe.
Mwalimu hakwenda Europe kufanya checkup, alikuwa anaumwa na nchi ikaamua kujaribu kuokoa maisha yake. Ni tofauti sana na hao waliojitungia sheria ya kijambazi ili kuendelea kuliibia taifa kwa safari za checkups Ulaya.- Kwani the greatest Mwalimu alifia wapi mkuu ilikua Muhimbili? Mpaka tutakapokuwa na Hospitali nzuri ndio viongozi wetu watatibiwa hapa hapa nyumbani, kama kuna sheria haifai basi ni bunge na wabunge ndio wanatakiwa kuivalia njuga, anyways naomba kukaa pembeni maana sioni kitu hapa.
Es!
Mwalimu hakwenda Europe kufanya checkup, alikuwa anaumwa na nchi ikaamua kujaribu kuokoa maisha yake. Ni tofauti sana na hao waliojitungia sheria ya kijambazi ili kuendelea kuliibia taifa kwa safari za checkups Ulaya.
Kumbe hata hujui Sitta alikuwa mkurugenzi wa CDA? Angalia records zako.
Mbatia ulikuwa wapi siku zote usiuelezee umma hayo machafu ya six, yaani unasubibiri mpaka amshambulie mpinzani mwenzako?.wanasiasa simameni imara mtetee Taifa lenu na si ku-concentrate na siasa za visasi.
- Ukiamua kumshambulia kiongozi kama Spika wa sasa, ni lazima uwe na facts kuliko hizi circumstantial evidence, sema aliiba hela flani sio alitumia kununua flani it does not make a sense, alitumia hela kukodi nyumba huo ni uamuzi wa Serikali sio wa Sitta, najua kuwa viongozi wetu wengi wa sasa sio malaika, lakini ninam-support Sitta kwamba ni afadhali kuliko mafisadi,
- Na Mungu amsaidie sana aendelee na moyo huo huo alionao mgumu sana wa kusimama bila kuogopa mafisadi, kama sio yeye Lowassa angekwua bado anachota hela zetu as he wished, no wonder makelele against Sitta ni mengi mno, kuna waliopoteza mlo kutokana na msimamo wa Sitta.
Respect.
FMEs!
- Kwani the greatest Mwalimu alifia wapi mkuu ilikua Muhimbili? Mpaka tutakapokuwa na Hospitali nzuri ndio viongozi wetu watatibiwa hapa hapa nyumbani, kama kuna sheria haifai basi ni bunge na wabunge ndio wanatakiwa kuivalia njuga, anyways naomba kukaa pembeni maana sioni kitu hapa.
Es!
- So far yote uliyoyasema yamo kwenye sheria na katiba zetu, sasa labda katiba ndio mbovu kuwa mzeee sio kuvunja sheria kwenye katiba yetu, unless kama una lingine mkuu! Nyumba kulipiwa ni uamuzi wa serikali sio kiongozi, kusafiri nje na wasaidizi ni katiba sio uamuzi wa kiongozi.
- Mind you kuwa mijinga inaweza kuwa ni pamoja na kulazimisha hoja hata isipokuwepo.
FMEs!
Siku za karibuni limeibuka kundi la watu ambao wako tayari kufa au kufanya lolote lile kumtetea Sita, wamevuka mipaka kiasi cha kutojadili maada au hoja bali kumtetea tu! ninachofahamu ni kuwa
Sita+Mwakyembe+Lowasa+Rostam+Kikwete+Warioba+Kilango+Makamba+Ngeleja+Masha+sofia Simba+Mkapa=CCM.
watu mtakaojitokeza kumtetea yoyote katika hao na kuponda wengine nadhani ni kutokutumia akili ya kawaida kabisa ya kuzaliwa!
However, inapendeza zaidi kuwatetea baadhi ya watu mliowapa majina ya wapiganaji kama wewe ni mwana CCM, yaani mmoja wao, ila inahuzunisha beyond words ukimkuta mtu mwenye akili timamu anatoka povu kumtetea Sita ana kina mwakyembe ambao ni wasaliti na wezi kabisa wa tafa hili ,jana leo, na hata kesho, never even mention akina EL na AR,
CCM lao moja! kipindi hiki cha uchaguzi ndio mtawaona kwa matendo yao! waoi Kilango? wapi Mwakyembe? kelele ziko wapi? wanaofadhili hizo chaguzi zenu ni akina nani?
kutokana na hoja yako hapo kwenye nyekundu
Mrema anamtetea kikwete hivyo Mrema=Kikwete=CCM, Mbatia anamtetea Mrema, Hivyo Mbatia =Mrema=Kikwete=CCM,
Wareboya anamtetea Mbatia, Hivyo
Wareboya=Mbatia=Mrema=Kikwete=CCM, na list inaenda kuunga kwenye list yako hapo juu penye nyekundu
Hatudanganyikiiiii!!! Mbatia hivi ulikuwepo nchini wakati wa mpambano dhidi ya mafisadi? Mbona hatukusikia ukitolea ufafanuzi wa upande uliokuwa? Thanks God hapa umetuzihirishia ulikuwa upande wa kina RA japo ulijizuia kusubiri wakati huu muafaka wa mavuno. Mtikila alichukua ajira kama yako wakati wa mavuno madogo ya kwa Wangwe kilichomfika anakijua mwenyewe. Yaani mbatia kutangaza kugombea kawe anatafuta huruma za sisiem? Sii urudi huko tena watakupa heshima ya kukabiziwa kadi na Makamba?. Wapinzani tafadhali acheni kujipachika ukatibu uenezi wa ccm.
FMES ni mwanaCCM, na analisema hilo waziwazi na ukimtaja Sita, malecela, january makamba, hiyo thread FMES lazima aingie kujibu mapigo, hana hiyana kuweka msimamo wake, JF ni mahali pa wote, siyo chama cha upinzani ndiyo maana unamkuta FMES yumo akisema lolote kutetea baadhi ya watu CCM.ningekuwa moderator ningekuwa nafuta post zote za kutetea mwana CCM yeyote yule.Kama Tanzania ina akina Fiels Marshall wengi ambao wanashindwa kuona basics ,na kusema Six hafai,we are doomed!
Waberoya mkuu , heshima mbele. Naungana na wewe kuwa siku hizi watu wamejenga tabia ya kutojadili hoja bali nani katoa hiyo hoja. Mbatia anajenga hoja kuwa Sitta hana moral authority ya kuwashambulia wenzie kuwa ni mafisadi na anatoa mifano ya tabia ya Sitta inayomuweka kundi moja na wenzie wa CCM kuwa wote ni Mafisadi!! Sasa hao wanaomtetea Sitta kuwa sio fisadi waje na ushahidi utakaonesha kuwa huyu bwana kama Spika hakupinga hoja ya Dr. Slaa alipoiwasilisha bungeni juu ya ufisadi wa Richmond!! Kama alikuwa sio fisadi kama hao wenzie aliowageuka, kwanini alimshambulia Dr. Slaa kuwa alikuwa mzushi na alikuwa hana hoja ya maana juu ya Richmond !! Kama alivyotanabaisha Waberoya hawa jamaa ni wamoja na hilo litajulikana wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi.