Ni udadisi tu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni udadisi tu!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Jul 28, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii niliisikia toka kwa mdada flan mwenye ndoa yake... Kwamaba yey akikwaruzana na mumewe na tatizo kwa wazee kwa utatuzi... Anaambiwa awe mtulivu..wamaume wengi huanza kuiona thamani halisi ya ndoa wakiwa na miaka 35 na kuendelea..kabla ya hapo wengi wanaoa ila akili zao bado zinatamani yale walioyaachacha nje na huku bado ndoa wanaitaka vilevile.. Wakishafikia umri tajwa..wanatulia...!!
  Sijafika huko bado...udadisi wangu katika kampani za jamaa zangu( walio juu na walio chini ya miaka 35 waliopo katika ndoa) naona dalili fulani ya ukweli..!!

  Wakulu...Imekaaje hii??
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh kwani we una miaka mingapi?
  ebu oa tuone practical research iz always da best for optimum result!!!!
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ndio maana nimesema ...ni udadisi tu... wenye uelewa wao wanijuze!!!!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mimi nasubiri hadi nifikie above 35 ndio nioe! Huu ni ushauri niliopewa na mzazi naye alinipa sababu kama ulizotoa kuwa baada ya huo umri mtu anatulia katika ndoa.
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mmmmmmmm 35 kaka; kwa life xpectancy ya kibongo ni risk sana unaweza kuacha wanao wakiwa bado makinda! Suala la kutulia ama kutotulia jamani halina uhusiano wowote na umri na hasa kwa nyakati hizi tulizo nazo! Hizi nyakati za mafataki na mashuga mami!
   
 6. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145


  Only God determines your life expectancy... I all wanted to to know is how true/false the notion is...!!.. is about mental maturity, sexual drive ddynamics or..!!!Just curiousity!!:smile:
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ina maana humu ndani hakuna aliyefikisha miaka 35 ambaye yuko kwenye ndoa?? Hebu mshaurini mwenzenu... au niwataje kwa majina mtoe experiensi zenu hapa...
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hizo ni story za vijiweni Askofu hatujafikia hiyo Age bwana ila tuko kwenye ndoa:doh:
   
 9. B

  BARRY JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  age siyo deal sana....ila kuwahi safi hata ile kitu inakuwa na nguvu mbaya
   
 10. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  SUala hili halina uhusiano na umri wa mtu. Kuna vidume vyenye miaka zaidi ya 35 lakini havijatulia kabisa. Likewise, kuna walio below 35 lakini wako safi na ndoa zao na mimi ni miongoni mwao. Suala la tabia ya mtu haliendani kabisa na umri. Ndo maana ni muhimu ku-develop good habits tangu ukiwa kijana maana ukiwa na tabia mbaya (mfano ya kutoka nje ya ndoa) hata ukikua utaendelea nayo tu.

  I am talking this from experience. Mi kabla ya kuoa sikuwa na tabia ya kufukuzia vibinti. Nilisubiri muda mwafaka. Na hata nilipompata mchumba sikuwahi kufanya nae tendo la ndoa mpaka tulipofunga ndoa kanisani. Tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 2 na nilifanya tendo la ndoa nikiwa honeymoon baada ya kupata baraka za kanisani. Vijana wenzangu waliokuwa wanafukuzia vibinti (na waliniona mimi kama zoba vile) nao wameoa lakini wengi wao mpaka leo bado wanafukuzia totoz nje ya ndoa.
   
 11. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  :A S angry::A S angry:... kwa hiyo anawadharau kwamba akili zenu hazijatulia kwenye ndoa....:A S angry::A S angry:
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280

  mi niko kati ya 45-50 na bado infideliry is there to stay sasa sijui inakuwaje hapo baba Askofu?:smile-big:
   
 13. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  The devil is rulling!!...:A S angry:
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280

  Since when....and how.....I thot it is just nechero:bowl:
   
 15. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Basi necha yako ni sawa na ya kuku dume...
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Thamani ya ndoa ni wakati wote; ukiipa mipaka ya muda na umri wewe umeingia kwenye ndoa si kwa maana ya kuwa kwenye ndoa !
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  kumbe madume unayafahamu mambo yake.........wapi beijing?
   
 18. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  :A S-devil1:...:angry:...:whip:.......:yell:.....:whip:......:pray:
   
 19. RR

  RR JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Baba Askofu hapa unamlaani??
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  oooooooh!!!
   
Loading...