Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
SUala hili halina uhusiano na umri wa mtu. Kuna vidume vyenye miaka zaidi ya 35 lakini havijatulia kabisa. Likewise, kuna walio below 35 lakini wako safi na ndoa zao na mimi ni miongoni mwao. Suala la tabia ya mtu haliendani kabisa na umri. Ndo maana ni muhimu ku-develop good habits tangu ukiwa kijana maana ukiwa na tabia mbaya (mfano ya kutoka nje ya ndoa) hata ukikua utaendelea nayo tu.
I am talking this from experience. Mi kabla ya kuoa sikuwa na tabia ya kufukuzia vibinti. Nilisubiri muda mwafaka. Na hata nilipompata mchumba sikuwahi kufanya nae tendo la ndoa mpaka tulipofunga ndoa kanisani. Tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 2 na nilifanya tendo la ndoa nikiwa honeymoon baada ya kupata baraka za kanisani. Vijana wenzangu waliokuwa wanafukuzia vibinti (na waliniona mimi kama zoba vile) nao wameoa lakini wengi wao mpaka leo bado wanafukuzia totoz nje ya ndoa.
Hukutumika vizuri !!!! na je mkeo ulimkuta bikrahwell: