Ni tuhuma tu Lowassa kumbe si Fisadi!!

Ni tuhuma tu Lowassa kumbe si Fisadi!!

Nyani Ngabu, huwa naheshimu sana hoja zako nyingi. Ninaomba unitie moyo niendelee kuheshimu kwa kuonyesha ukweli.

CHADEMA, ni chama cha upinzani hakina dola wala hakiongozi serikali. Report ya Mwakyembe imebainisha kwamba Lowasa ni fisadi. Tena kwa taarifa zaidi kwamb kuna mengine yamehifadhiwa kwa usalama wa nchi. Wewe ulitaka CHADEMA waseme kwamba Lowasa ni safi, kabla hajasafishwa mahakama??

Watanzania wakategemea kwamba mafisadi hao waliotajwa Lowasa, na wenzake wengi tu watapelekwa mahakamani ili

wahukumiwe kwa mujibu wa sheria, lakini kimya kikaendelea. Siyo kwa Lowasa bali kwa watuhumiwa wote wa ufisadi hadi leo tunaona keusi na kekundu.

Huo ukweli mwingi unaoujua wewe, kama ndivyo ilivyo, kwa nini hapelekwi mahakamani? Akiwa ccm alikuwa ni ajali za kisiasa, lakini baada ya kuamua kuondoka kwa hiyari yake, sasa kawa fisadi? Nidyo tuseme ni fisadi, kwa nini hapelekwi mahakamani?

Vipi mafisadi wa ESCROW, Lugumi na wengine wengi wanaofugwa ccm na serikali yake. Mnasubiri waondoke ndipo muanze kuimba wimbo wa ufisadi wao? Adhabu ya fisadi ni kutokuondoka Ccm? Hukumu ya fisadi ni kuzomewa? Kwa sheria zipi Nyangi ngabu?

Unaposema walichemsha, nani aliyechemsha? CHDEMA waliosema ni fisadi kwa sababu ya taarifa ya tume ya Mwakyembe?
Kamati ya Mwakyembe iliyosema Lowasa ni fisadi? Ccm kumsafisha kwamba ilikuwa ni ajali ya kisiasa? Srikali kukosa ujasiri wa kumpeleka mahakani au ccm kuanz akuimba wimbo wa ufisadi kipumbavu bila kurejea taarifa ya Mwakyembe na kuaishi kusema CHDEMA walisema?

Naomba uwe serious.

Ok. Lowasa ni fisadi, kwa nini Serikali haimpeleki mahakani? Pengine tuanzie hapa!



Ulisema hivyo wakati CHADEMA wanasema yeye ni fisadi?

Na pengine inakera kwa sababu ina ukweli mwingi ndani yake.

Ukweli mara nyingi hukera wale wasiopenda kuusikia.



Kwani wakati CHADEMA wanamtuhumu kuwa fisadi walitoa ithibati gani juu ya hayo madai yao?



Wakati CHADEMA wanasema kwamba Lowasa ni fisadi uliwakosoa na kuwaambia kwamba hoja zao ni za watu wenye uwezo wa chini sana katika kujenga hoja? Au ndo ulipaza sauti kuimba mapambio ya Lowasa ni fisadi?



Nyie wakati mnasema ni fisadi mlituambia ufisadi wake ni upi? Na kama mlituambia, ikawaje tena mwaka jana mkabadili gia angani?

Ni fisadi akiwa CCM lakini akiwa kwenu ni msafi?

Nyie kubalini tu kuwa mlichemsha.
 
HIli swala sio la kulichukulia mzaha. Sisi Wananchi ndyo tunalilea. Haiwezekani kuongozwa na serkali ambayo inawajua mafisadi ni wakina nani na haiwachukulii hatua zaidi ya kuwaongelea tu kwenye majukwaa ya kisiasa.


Kwanza hii serkal imetudharau sana wananch wake. Sisi tunalipa kodi. Kodi zetu ndzo zinatumika kuendesha hizi mahkama lakini hawataki kupeleka mahkamani hao wanaodai wanahujumu uchumi wetu.

Tanzania ya Leo ukimuita Raic loooofa kesho kutwa tutakusikia umeshafikishwa mahkamani na kesi yako haitatumia zaidi ya siku 3 kuhukumiwa na kuwekwa ndani. Ila wahujumu uchumi wanalindwa.
 
Waberoya


Kweli lowasa ni mtuhumiwa wa ufisadi kwa taarifa ya Mwakyembe. Unaweza kutusaidia ni kwa sababu gani hakamatwi afikishwe mahakamani na serikali ya ccm?

Tukisema Ccm na serikali zinafuga mafisadi utajibu vipi?
 
kama ni kweli ili uwe fisadi unahitaji yote hayo uliyo yasema basi tanzania hakuna mafisadi . mfano hata huyo chenge hajawahi fikishwa mahakamani. je unaamini kuwa chenge sio fisadi???
 
Waliosema Lowassa ni fisadi ni chadema (refer list of shame pale mwembeyanga) na ni hao hao wamerudi kutwambia sio fisadi. Kibaya zaidi ile list of shame wameitoa hata kwenye website yao ina maana hata wale wengine 10 sio kweli lakini yalikuwa ni majungu ya chadema kuwadanganya wananchi kwa tamaa zao za madaraka.
 
Wewe ulitaka CHADEMA waseme kwamba Lowasa ni safi, kabla hajasafishwa mahakama??
Kwa hiyo ni lini mahakama ilimsafisha ndio akahamia CHADEMA? Kaeni mtulie tu dhambi ya ya kumchafua LOWASA iko mikononi mwa CDM msafisheni tu lakini Kubenea ashasema hasafishiki
 
Waberoya


Kweli lowasa ni mtuhumiwa wa ufisadi kwa taarifa ya Mwakyembe. Unaweza kutusaidia ni kwa sababu gani hakamatwi afikishwe mahakamani na serikali ya ccm?

Tukisema Ccm na serikali zinafuga mafisadi utajibu vipi?
Kuvuliwa uwaziri mkuu ni adhabu tosha
 
Lowassa alikuwa na
dhambi gani?/ infact kwa
zama zile za kale upinzani
ulifuata tu upepo bila
kujiridhisha,so baada ya
kuelewa uhalisia ni
kwanini uendelee
kutuhumu binadamu
mwenzako badala ya
kumuomba radhi?/ zama
zile cccp ilimuwinda
ikamuweka kwenye target
ikatengeneza inalolijua
ikamsulubisha
ikamtuhumu ikamjengea
chuki hatimaye ikamtoa
kafara.]
 
Lowassa alikuwa na
dhambi gani?/ infact kwa
zama zile za kale upinzani
ulifuata tu upepo bila
kujiridhisha,so baada ya
kuelewa uhalisia ni
kwanini uendelee
kutuhumu binadamu
mwenzako badala ya
kumuomba radhi?/ zama
zile cccp ilimuwinda
ikamuweka kwenye target
ikatengeneza inalolijua
ikamsulubisha
ikamtuhumu ikamjengea
chuki hatimaye ikamtoa
kafara.]
Kwa sasa wanauzdhibitisho gani kuhusu Chenge?
 
Mhhh Lowassa sio fisadi?....daah kuna watu vigeugeu hapa nchini aisee...
 
Torati ya kumpaka matope Mh Lowassa ilifundishwa na ikasambazwa,ikarutubishwa,hadi ikapata waumini tele,na makada damu damu,tokea tu mwaka 1995 pale Lowassa atangaze nia ya kuwania uraisi hadi leo.Sababu si kwamba Lowassa alikuwa fisadi wakutisha la hasha,sababu ni tishio.Watawala na wapambe wao waliogopa msimamo wake wa kutoyumbishwa na labda angeibua mambo maovu ambayo yangekuwa mwiba kwao.
Cha kusikitisha wapo watu wametumika na wanazidi kutumika kumchafua Mheshimwa Lowassa na kujibebesha dhambi.Hadi leo watu wanaimba na kukariri Lowassa ni fisadi Lowasa ni fisadi hadi kiama.
 
Torati ya kumpaka matope Mh Lowassa ilifundishwa na ikasambazwa,ikarutubishwa,hadi ikapata waumini tele,na makada damu damu,tokea tu mwaka 1995 pale Lowassa atangaze nia ya kuwania uraisi hadi leo.Sababu si kwamba Lowassa alikuwa fisadi wakutisha la hasha,sababu ni tishio.Watawala na wapambe wao waliogopa msimamo wake wa kutoyumbishwa na labda angeibua mambo maovu ambayo yangekuwa mwiba kwao.
Cha kusikitisha wapo watu wametumika na wanazidi kutumika kumchafua Mheshimwa Lowassa na kujibebesha dhambi.Hadi leo watu wanaimba na kukariri Lowassa ni fisadi Lowasa ni fifisa hadi kiama.
***
so painful / anything thrown around,must turn to its senders..
matters of times..
 
Hivi kumbe list of shame ya mwembe yanga ilitolewa na taarifa ya Mwakyembe? Kwa kuwa Edo ni msafi, kwa vyovyote vile tuhuma zozote zinazoelekezwa kwa Mkapa, Kikwete, JPM na wengine ni uzushi mtupu na kelele za kisiasa.
 
Alaa! Kwani kama ni fisadi si anapelekwa mahakamani. CHADEMA hawakuwa kwenye nafasi ya kumpeleka Lowassa mahakamani wakati ule na wala hawana nafasi hiyo sasa!! Najua hoja yako ni kwamba mtoa tuhuma ndiye anayetakiwa kuthibitisha tuhuma zake pasiko shaka. Lakini waliokuwa madarakani wakati ule na ambao ndiyo wako madarakani sasa msimamo wao kuhusu Richmond ulikuwaje na ukoje?

Mkuu nadhani hujawahi kumpigia mbuzi GITAA

hapo unaelekeza matahira hesabu za advance level kwa kilatini haliyakua wao wanajua kiswahili

Mangapi yenye TIJA yamesemwa na wapinzani wa CCM hawajayatilia maanani
 
Torati ya kumpaka matope Mh Lowassa ilifundishwa na ikasambazwa,ikarutubishwa,hadi ikapata waumini tele,na makada damu damu,tokea tu mwaka 1995 pale Lowassa atangaze nia ya kuwania uraisi hadi leo.Sababu si kwamba Lowassa alikuwa fisadi wakutisha la hasha,sababu ni tishio.Watawala na wapambe wao waliogopa msimamo wake wa kutoyumbishwa na labda angeibua mambo maovu ambayo yangekuwa mwiba kwao.
Cha kusikitisha wapo watu wametumika na wanazidi kutumika kumchafua Mheshimwa Lowassa na kujibebesha dhambi.Hadi leo watu wanaimba na kukariri Lowassa ni fisadi Lowasa ni fifisa hadi kiama.
Na km ni dhambi kumwita hivyo na niwe wa kwanza kuingia ktk lango la shetani.Lkn,kwa taarifa yako,hilo ndiyo jizi kuu na kiongozi wa wezi wote waliokuwa CCM.Ilifikia hatua ndani ya CCM watu wanaiba kwa kutumia mgongo wake
 
Ccm ndo mnatawala Tanzania mpelekeni mahakamani kama vp sio kulia lia kusiko sababu
 
Back
Top Bottom