kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,756
Don't quote me wrong kakaUsilifanye jambo hili la binafsi (don't take it Personal) litakuumiza sana!! Elewa maudhui ya Mada kisha changia. Maswali yako mengi yamejibiwa kwenye mabandiko yaliyopita, kama unaweza yapitie utaelewa.
Kukubali au kukiri makosa yako ni tiba ya kwanza.kumshtumu waziri mkuu mpaka kujiuzulu ni jambo kubwa sana.kama kuna mtu ambaye amefanya kosa hilo lazima ajitokeze kuomba radhi!hatuwezi kupandilizwa chuki nchi nzima dhidi ya mtu msafi na watu wachache!kwa lengo gani?what was their motive?they have to take responsibilit of their actions¡kiongizi muongo hafai na hawezi kuaminiwa tena!asante kwa kukiri ni waongo