G Classic Og
Member
- Mar 9, 2021
- 9
- 3
Bwana mimi naona kama nakaribia kula Red Card maana naweza kumsalimia tuu Umeamkaje My.... Akijibu Salama Love ndio basi.
Niokoeni kwenye hili
Niokoeni kwenye hili
umeongea point
Sawa mkuuMuulize mara ya mwisho kula Matikiti maji ilikua lini