Asante mkuu, lakini simu hiyo inaonekana inatouch pia...Blackberry KEYone
BlackBerry Keyone - Full phone specifications
Hakuna shida Mama, Wengne watasaidia kwa hiloAsante mkuu, lakini simu hiyo inaonekana inatouch pia...
mimi nahitaji ambayo ni batani tu, isiwe na option ya kutachi
Hivi ya button kumbeAsante, ila nadhani hujanielewa
Nokia e72 ina yote uliyotajaYes, nahitaji ya button.
mwanzo nilikuwa na nokia asha 200, ila nataka nibadali mazingira
HaipaatikaniHiyo bei yake ikoje
Kwa Moyo Mkunjufu Hizo Ni Hatari Yaani Za UkweliNina Nokia E72 na N73 hapa zinapiga hizo kazi zotee, ukiweza E6 nayo si haba
Sent using Jamii Forums mobile app
laki 1 used ya nje zilikuwa duka moja la mpemba msasaniHiyo bei yake ikoje