Asante kwa heshima yangu. Salamu kwako na wote except Bishanga-mkorofi huyu
bila kumsahau ????
amen Comi, salaam nimepokea. na we pia uwe na cku njema, leo na milele. lol!Mshukuru mwenyezi mungu kwa kukupa uhai hadi mda huu kisha wape hi marafiki zako na jamaa zako popote pale walipo:
marhabaa wadogo zangu,
heshima yenu wakubwa kwangu,