Hapana kaka, labda unanifananisha na Kibo10 kwavile tumefanana kidogo
Nina wasi wasi maana ukivyotoa macho najua ni wewe tuu aise mkuu
Last edited by a moderator:
Hapana kaka, labda unanifananisha na Kibo10 kwavile tumefanana kidogo
Watu wabishi bana weee acha tu,.eti wanasema huyo jamaa hapo sio wewe
Mweeeh!!!kuna watu wamebarikiwa.....
hapo wenye vibamia mtasubiri
Aisee picha nzuri sana nimependa mashavu yake... wenzangu mmependa nini?