Kamanda Mtoi.
Hawa ndio viongozi wa CCM. Unjaua huyo Ze Marcopolo anataka ubunge, sasa akingia mjengoni sio ndio wakina Nkamia au Lusinde na matusi ya hovyo hovyo??.
MwanaDiwani ni mjumbe wa NEC lakini hoja zake anazojenga hazina mashiko hata kidogo.
Hizo hoja ulizoweka hapo juu naamini hata mwenyekiti wa chama cha CCM hawezi zijibu, ndomana kashindwa kujibu ujumbe alotumiwa na CHADEMA kuhusu uchunguzi huru.
Sasa kituko kingine ona, Dr Sengondo Mvungi kashambuliwa na kuibiwa pesa na laptop yake, kamanda Kova anaweka lotion na picha za kofia kuwa wamekamata watuhumiwa, picha ninayopata ni kuwa uchunguzi utagubikwa na ubabaishaji.
Kwa kweli Watz lazima tujilaumu kwa kuiweka CCM madarakani 2010 ila tusirudie tena kuwapigia kura CCM, kuanzia Bungeni hadi Magogoni