ntakuwa mwendawazimu nikiendelea kujibizana na kinuka mkojo, kinuka chupi, kisambadu, kichamba na umande.wewe kafue nguo za wanao huko unapoteza mda hatimaye uje upigwe bure.
Mtoi wewe kichwa chako sijui kimejaa maji vitu unavyoongea ni vya kibavicha zaidi sijui utaacha lini uongo mmehangai na zitto weeeeee kawashinda .
kama wewe ni mtenda haki twambie chacha wangwe mlimfanya nini baada ya hapo grace mbowe naye vipi.
First of all. Get your fact right na acha kupotosha jamii. Ulaghai wenu is beyond human norms na siyo ajabu wabunge wenu walilaghai kama wataacha kuchukua posho na wengine wakarudisha vifaa vya kiutendaji matokeo yake kwa sasa wamekuwa wasemaji wakuu wakitaka posho ziongezwe.Wakuu.
Mwaka jana rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alipokuwa anahutubia wajumbe wa kamati kuu ya CCM alikionya chama chake kuacha kutumia Polisi na vyombo vingine vya usalama kukabiliana na nguvu ya CHADEMA. Raisi alipotoa kauli hiyo tayari wanachama kadhaa wa CHADEMA wakiwa washauwawa kwenye harakati za chama chao katika maeneo kadhaa ikiwemo Arusha, Mwanza, Morogoro, na Tabora.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa chama hicho kukipigania chama ipasavyo kwa masuala ya kisiasa na kuacha kutegemea Jeshi la Polisi na Serikali kuingilia masuala ya kisiasa. Rais Kikwete ameyasema hayo usiku huu alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa CCM Taifa mjini hapa uliomalizika majira ya saa tano usiku.
Alisema viongozi wa chama wanatakiwa kukisemea chama bila kuchoka hasa kwa masuala ya kisiasa na kuacha kutegemea viongozi wa Serikali na wakati mwingine vyombo vya dola kuingilia masuala ya kisiasa. Alisema yapo maneno mbalimbali ya kipuuzi ambayo yamekuwa yakitolewa na wapinzani dhidi ya CCM, ambayo yanapaswa kujibiwa na viongozi wa CCM wenyewe na si vinginevyo.
Alisema tabia ya baadhi ya viongozi hao kusikia hoja za wapinzani zikitupiwa ndani ya CCM huku wao wamekaa kimya na pengine kuhoji kwanini viongozi wa Serikali hawachukui hatua hazina msingi, hivyo wanapaswa kujibu hoja hizo kisiasa na si kutegemea vyombo vingine.
Rais Kikwete Awapasha Viongozi wa CCM, Awataka Wasitegemee Polisi, Serikali | Blog ya habari Tanzania | Online Newspaper | Thehabari.com
BAVICHA at its best.
First of all. Get your fact right na acha kupotosha jamii. Ulaghai wenu is beyond human norms na siyo ajabu wabunge wenu walilaghai kama wataacha kuchukua posho na wengine wakarudisha vifaa vya kiutendaji matokeo yake kwa sasa wamekuwa wasemaji wakuu wakitaka posho ziongezwe.
CHADEMA siyo chama cha siasa ndani ya demokrasia kwa manufaa ya demokrasia bali ni private-owned enterprise through political project.
CCM siyo kama CHADEMA na CCM hawezi kuwa kama CHADEMA. CCM haiwezi kutengeneza matukio mpaka watu wakaumia na kufa kwa mtaji wa kisiasa.
Ndani ya CHADEMA huwezi hata kutofautisha vikao na maamuzi ya vikao achilia mbali madaraka na utendaji wa viongozi na wanachama.
Ndani ya CCM huwezi kuona kiongozi wa chini anamtukana hadharani kiongozi wake wa juu kwa sababu tu hapendezwi jinsi kiongozi huyo wa juu anavyojitolea kuwatumikia wananchi.
Vikao vya CCM vinatofautiana na majukumu ya vikao yako tofauti kikatiba.Kuna tofauti kubwa ndani kati ya Mkutano Mkuu na Kamati Kuu.
Nitakusaidia ili uelewe ni kikao gani na nini maana ya kupigania hoja na siyo vioja ambavyo unajitahidi kuvitengeneza.
Ukiwa BAVICHA ni hasara tupu. BAVICHA ni janga la taifa.
duh..!!kumbe huyu jamaa ni tarishi,mi nikajua ni ofisa mwandamizi wa cdm?mkuu kijana alivamia rambo la majia bila kujua kina chake sasa anajuta na hajui pakutokea kwa sasa kijana huyu ni mtu wa kutumwa tu hana thamani tena tumpe pole.
Janga ni yule asiyejielewa na hafahamu kama hajielewi.Kuna utofauti upi kati ya Mwenyekiti wa CCM alichosema kwa wanaCCM hata kama sio KAmati Kuu ikawa Mkutano mkuu!! yooote ni kitu kilekile!!
Unakataa nini kuwa CCM haiwezi ratibu mauaji huku Mwenyekiti akisema kuwa wasitegemee Jeshi la Polisi!!???
Janga ni yupi katika Bavicha na wewe mjumbe wa NEC???
Maneno mengi hayana hata hoja.Kuanzia leo nimeamini ma-ccm ubongo wenu hauwasaidii kitu. hamba utu bali ninyi wanyama. mkiyaeleza hayo hadharani Watz watawakomesha kwa kuwapiga mkome ujina wenu.
hamna hata hofu ya Mungu kutetea wizi na maovu ya ccm kumwaga damu za watz. mmekubali kuwa vibaraka wa ibilisi. subili 2014/2015 mtaiona nguvu ya umma!!
Akina mtoi na chama chake cha chadema walianza na shetani watamalize na shetani.
ntakuwa mwendawazimu nikiendelea kujibizana na kinuka mkojo, kinuka chupi, kisambadu, kichamba na umande.
Mkuu Mtoi,
you have done it well. This will remain in records. It's very unfortunate that Lumumba boys (b7) do not care with what ccm gvt has done or is implicated in these killings of their fellow Tzns. It's really shorking!
Mkuu.
jamaa huwa wakija kujibu mada kama hizi huwa wanafungia Akili zao kwenye visadolini. kwa kifupi wanachangia kushuka kwa hadhi ya U-GT hapa jukwaani. uwezo wao wa ku-counter back hoja kama hizi ni mdogo mno! Ukitaka kuamini uwe unarudi kupitia huu Uzi.
Makada wameshindwa kujibu hoja ya Kamanda Mtoi.
Nimeangalia uzi huu tokea mwanzo hadi hapa ulipofikia sijaona kada yeyote aliyejibu/aliyepinga hoja za Kamanda Mtoi kwa hoja, nimeona matusi toka kwa watu kama Simiyu Yetu, chamakipya nimeona mizaha au utani toka kwa Ze Marcopolo na MwanaDiwani aliyetaka kupindisha hoja.
Ze Marcopolo anataka kwenda Lushoto kula matunda badala ya kujibu hoja, kama anataka kula matunda ya Lushoto na Mtoi angemtumia meseji ili wapange taratibu zao lakini kuweka hapa maana yake hana hoja ya kujibu
Simiyu Yetu yeye ameweka matusi na mipasho, huyu jamaa comment zake nyingi hata kwenye uzi (thread) zingine zinaonesha ni mtu wa tofauti kidogo.Naomba nisimjadili ila niseme tu hakujibu hoja.
Chamakipya yeye kamshambulia Mtoi na mipasho badala ya kujibu hoja,
MwanaDiwani amechanganya majibu ya mipasho na kutaka kupindisha ukweli japo ameshindwa pia, alitaka kusema kuwa Mwenyekiti wa CCM hajasema kuwa CCM isitegemee polisi alafu aka-highlight maneno hayo hayo yakionesha Mwenyekiti akiwaonya ccm kutumia polisi kupambana na CHADEMA.
Hivi kweli kama CCM haina watu wanaoweza kujenga hoja?? hivi hawa ndio viongozi wa CCM chama kilichoshika serikali, uwezo wao wa kujenga hoja unaishia hapo, ndio sishangai.
Hoja ya eti CHADEMA imeua, CHADEMA imefanya mauaji, ni hoja nyepesi sana tena inayoivua nguo serikali ya CCM, hivi kama serikali ipo makini kwanini isifanye uchunguzi ikawapeleka hao Makamanda wa CHADEMA waliofanya mauaji hayo??? Hivi kweli CCM inavyowachukia CHADEMA ingewaacha wazidi kupanuka na kutishia uhai wake kama wangekuwa na ushahidi kuwa CHADEMA ndio wamejilipua wenyeywe na kujiua wenyewe???.
Sasa kwanini hiyo tume huru kuchunguza mauaji yote yenye sura ya siasa mbona hawajaiunda kama hawahusiki na mauaji hayo??
NCHI YANGU TANZANIA YANGU