Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,558
- 45,876
Kuna jirani yetu ni mjamzito .yuko week ya 42 hajapata dalili zozote za kuzaa na mtoto yuko poa.
Dokta kasema asubirie tu nyumbani?? Ni hizi goverment hosptal.ni sawa wakuu?? Nimemuambia sio sawa maana hata muhimbili tu ukifika week 36 wanaanza kudili na wewe huwezi toboa hata week 38. anasema sasa afanyeje na ni mimba ya kwanza hana uzoefu.