Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,199
- 3,592
Leo wakati nasikiliza BBC SWAHILI kukikuwa kuna mjadala unazungumzia bara la AFRICA.
Lakini wakati nikisikiliza uchambuzi kutoka hawa wenzetu wanasema bara la africa ni bara linachambuliwa kuwa ni bara la watu MASIKINI, WASIOJIWEZA NA WAZEMBE ?
SASA mimi najiuliza inakuwaje tunaitwa masikini wakati kila nikiamka asubuhi naona watu wanajenga majumba mazuli, watu wanamiliki magari mazuli, watu watu wanafanya kazi asubuhi na usiku,....
Je inakuwaje wafrica tunaitwa watu masikini, wazembe na wasiojiweza ?