Unajua usahihi wa kumkopa mpenzio ni uhakika wako wa uaminifu kumrudishia.....tena unarudisha kabla ya wakati kabla hajakumbushia na ka riba juu kakujikosha mpenzi najua nlikukwamisha mambo mengi ongezea na iyo kwene matumizihahah mahari piga ua ntatoa, Lengo la kuuliza ni kupata maarifa zaidi toka kwako
Nimependa hio na riba juu 😄Unajua usahihi wa kumkopa mpenzio ni uhakika wako wa uaminifu kumrudishia.....tena unarudisha kabla ya wakati kabla hajakumbushia na ka riba juu kakujikosha mpenzi najua nlikukwamisha mambo mengi ongezea na iyo kwene matumizi
Apo kwenye na ka riba juu umeniacha hoi[emoji23] eb niache uko mwenzio nin stress naanzaje anzaje apaUnajua usahihi wa kumkopa mpenzio ni uhakika wako wa uaminifu kumrudishia.....tena unarudisha kabla ya wakati kabla hajakumbushia na ka riba juu kakujikosha mpenzi najua nlikukwamisha mambo mengi ongezea na iyo kwene matumizi
Hamtabiliki nyie wengine njaa ndo zinawaweka, mkishatoka mnaoa kwengine, wengine matapeli, hiyo kitu skuwai kukubaliana nayo enzi za ujana wangu....kuna mchumba kama mchumba sio mpenzi wa kujificha yaan alofika Kwetu kishika uchumba akatoa, mahari akapangiwa, hajaleta mahari akaanza ooh wajua sisi karibia tunakuwa mwili mmoja, tuchanganye vipato vyetu pamoja tufanye kitu kimoja😂😂😂😂😂😂 koh koh koh nlimkatalia afu wakati huo anataka kuanza utapeli wake kuna demu anaishi naye mi sjui hili wala lile mbona uchumba ulikufa na lipete lake nkatupahahah kwamba wapenzi tuna nin mpaka ututenge
Huo ndo uanaume sasa, sio anakopa mil 2 anarudisha kavu kama ilivyo tena kwa kusumbuliwa sanaNimependa hio na riba juu 😄
Ha ha ha huyo alikuwa hafai kabisa dah yaani mahari pia jamani wanaume wengine majanga!!Hamtabiliki nyie wengine njaa ndo zinawaweka, mkishatoka mnaoa kwengine, wengine matapeli, hiyo kitu skuwai kukubaliana nayo enzi za ujana wangu....kuna mchumba kama mchumba sio mpenzi wa kujificha yaan alofika Kwetu kishika uchumba akatoa, mahari akapangiwa, hajaleta mahari akaanza ooh wajua sisi karibia tunakuwa mwili mmoja, tuchanganye vipato vyetu pamoja tufanye kitu kimoja😂😂😂😂😂😂 koh koh koh nlimkatalia afu wakati huo anataka kuanza utapeli wake kuna demu anaishi naye mi sjui hili wala lile mbona uchumba ulikufa na lipete lake nkatupa
Hili tukio ni serious sema kwa ulivyolisimulia nimecheka sana, anyway ata nikikupa pole najua ushapoa kitambo. sema all men are not the same.. kijana mwenzetu sema nae hakukusudia huenda kipato kilikua kidogo na ukiangalia ndio vile ameshakuelewa. akaona ajarbu bahat ka wazee wako watampa ofa au laa! sema nd hivyo walikaza[emoji28]Hamtabiliki nyie wengine njaa ndo zinawaweka, mkishatoka mnaoa kwengine, wengine matapeli, hiyo kitu skuwai kukubaliana nayo enzi za ujana wangu....kuna mchumba kama mchumba sio mpenzi wa kujificha yaan alofika Kwetu kishika uchumba akatoa, mahari akapangiwa, hajaleta mahari akaanza ooh wajua sisi karibia tunakuwa mwili mmoja, tuchanganye vipato vyetu pamoja tufanye kitu kimoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koh koh koh nlimkatalia afu wakati huo anataka kuanza utapeli wake kuna demu anaishi naye mi sjui hili wala lile mbona uchumba ulikufa na lipete lake nkatupa
Mwanamke kiumbe wa ajab San yey Union kakukopesh ujue ndo kisemeo cha kila kosa,na ukichelew kumlip atanuna Ila yy ukimkopesh kulipw ad yesu ashuke,land kam unamsaidia Ila uskubali kusaidiwa na mwanamke utajuta!!Habari wana Jf!
Poleni sana na majukumu ya siku ya leo, nawapa hongera pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki katika shughuli zenu[emoji120]
Kama mada inavyojieleza pale juu, kiukweli kwa upande wangu sijawai kumkopa, sema leo sijui nijaribu.[emoji28] dahh sema sijui atanichukuliaje?
Anyway ngoja kwanza nikusanye maoni apa jukwani kwanza kisha ushauri wenu nichanganye na akili zangu kisha nitoe maamuzi sasa.
Naheshimu sana maoni yenu.
karibuni[emoji116]
Khaa yaan mwanaume hujanioa ushaanza kauli za "nisaidie hela" si hata mahari utaomba nikusaidie kulipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana