Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

Umri wa kuoa/kuolewa ni pale mtu anapokuwa tayari

Tunatofautiana utayari,
Wengine wanakuwa tayari wakiwa kwenye 20's,
Wengine wakiwa 30's,40's

Ni maamuzi tu.

Acheni kutusakama wadada jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na wana saikolojia wa ndoa...
Mwanamke umri mzuri wa kuolewa ni 25 - 28
Mwanaume umri mzuri wa kuoa ni 28 - 32.
Chini ya hapo, akili huwa haijapevuka vya kutosha kukabili mambo ya ndoa.
Zaidi ya hapo, Yale mambo unayofanya umri ukienda zaidi yanaweza kua ndio kasoro kwenye ndoa (Eg:- kuna na X wengi)

#YNWA
 
Ila sio wewe, miandiko ya mtu inatanabahisha umri wao, hapa kuna kabibi flani kanaitwa Kasie nadhani kanamfuatia kwa karibu FaizaFoxy wengine tupo 20-40's

Kasinde ni kigagula cha miaka 50, hapo ujue sijaweka ile niliyoficha wakati naajiriwa ilinisistaafu haraka....

Hii mbinu tulipewa miaka ile tunaajiriwa utumishi wa umma.

Nashukuru kwa kutambua uwepo wangu, Kasie Kigagula Matata.
Mara moja moja mkipita muwe mnaniamkia basi, kuamkiwa kutamuu hasa ukiwa bibi usiye na wajukuu.. basi tuu nyie hamjui.
 
Hehehehe kumbeeee!!..ila kasie sidhani Kama anafikia kwa Faiza ..yupo hapo kwenye 30-40..kwa kudhani tu

Madhanio yake yamekupotosha, Kasinde ni kigagula chenye miaka 50, ukijumlisha na ile miaka niliyojirudisha nyuma wakati naajiriwa.... Inaweza fika 55 hivii...
 
Kulingana na wana saikolojia wa ndoa...
Mwanamke umri mzuri wa kuolewa ni 25 - 28
Mwanaume umri mzuri wa kuoa ni 28 - 32.
Chini ya hapo, akili huwa haijapevuka vya kutosha kukabili mambo ya ndoa.
Zaidi ya hapo, Yale mambo unayofanya umri ukienda zaidi yanaweza kua ndio kasoro kwenye ndoa (Eg:- kuna na X wengi)

#YNWA
Mimi naona haya Mambo hayana kanuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...yaani nioe mwanamke umri 31 au single mother si bora nikate maungo kule mbele niji hasi niwe eunuch
 
Back
Top Bottom