Ni sahihi mgombea urais apumzike kampeni

Ni sahihi mgombea urais apumzike kampeni

Watoto wa MUJINI au wahuni hiyo GWA JI MAAA wameipa maana nyingine kabisa hahahahaha. Nileteeni GWA JI MAAAA
😂😂
Hahahaaaa!!! lol.

Nileteeeni gwwaajjjjjimmmmaaaa. Nimecheka sana mchana huu. Lol.
 
Kama kampeni tu kachoka, kazi ataweza?

Kupumzika wakati wa kampeni, wakati una ratiba hujaikamilisha, ni sawa na kupumzika siku ya interview ya kazi unayoitaka.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ameshasema watanzania tufanye mabadiliko
Sasa akija kuambiwa kura zake hazikutosha itakuwaje!
View attachment 1600979
IMG_20201019_222544.jpeg
 
Kachoka huyo kwa kauli yake mwenyewe Urais ni mateso makubwa sasa sijui kwanini anang’ang’ania madaraka. Kwenye private company CEO akishatoa kauli kama hii hacheleweshwi kufungashiwa virago vyake lakini cha ajabu kuna MAZWAZWA ya maccm hawalioni hili la huyu kuzidiwa kimo na majukumu asiyoyaweza.
Kasema tufanye mabadiliko
IMG_20201019_222544.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom