OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,097
- 103,364
HahahahahhahhahhahaDuh imefikia hatua ya kuwafokea wapiga kura
Tilipu shamba tilipu gelejiTayari
Mambo ya weed hayo
walimdhihaki sana Lowasa,Tilipu shamba tilipu geleji
Kichwa kimeshapata moto sana sijui kale kafeni kamebuma!
Si moyo tu mengine hayaonekani kwa macho ila kwa matendo.Kama kuna matatizo ya moyo yanamsumbua a.k.a arrested by cardiac arrest ni sahihi kupumzika kwa sababu hakuna namna