Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

Kuna utaratibu wa kuailisha mechi, sio kihuni namna hii kama ulivyofanywa na simba na viongozi wachache wa bodi ya ligi kwa kula hongo na mahaba niuwe kwa simba
Simba hawajahairisha mechi, wao walisema hawaleti timu uwanjani, bodi ya ligi ilibidi wakae kimya ili simba adhabu iwakute, kwa hayo mazingira huwezi kumuadhibu simba kamwe.
 
Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu.

Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket.

Inawezekana lao na body ya league pamoja na simba ni moja.
Sahihi kabisa tena matapeli mchundo.
 
Mama anahusika vipi kwenye maamuzi ya mpira?
Maamuzi yaliyotolewa na bodi ya ligi hujayaona? Au wewe upo unasubiri maamuzi ya mama?
Wahuni wa Simba na tff wamedhulumu maelfu ya raia pesa zao kwa kufuta mechi kihuni bila kufuata kanuni za soka, Mama anaweza kusema watimuliwe tu, hawana faida kwenye jamii, mbona kesi ya Feitoto Bimkubwa alikata shauri. Hata hapa akiamua anaweza.
 
Back
Top Bottom