Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

Ndipo siku hio nawe utajua hua una utamu wako.
Nipo mbioni kula wake wawili wa watu kwa sababu hiyo hiyo, huyu mmoja ni mcharuko kabisa, halafu ni pisi kali, jana usiku nimekutana naye baada ya stori mbili tatu a kaniuliza flani hivi unajua kwa nini niliku kopa na sija kulipa? Nikamwambia hapana, a kaniambia "jiongeze basi" huyu ntamla tu maana hamna namna

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna Siku nawe utajua hua una utamu wako pahala Fulani.Tembea na mafuta
 
Kama wewe ni mwanamke mwenzake ni halali.
Ila Kama ni mwanaume unajitafutia Matatizo.

Na unakuwaje na mazoea na wake za watu mpaka kufikia hatua ya kukopeshana?
Siku ukiminywa kende licha ya kuwa hujatoka Naye utamlaumu Nani?

Kwa nini huyo mke WA Mtu asije kumkopa mke wako?

Vijana wa siku hizi wanajua Kucheza na roho zao kweli
 
Daaaaaaaa....usithubutu ndugu utakuja kunikumbuka baaadae mwisho siku utaambiwa ulikuwa wa mtongoza.
 
Kwanza tueleze anataka sh ngap. Usikute anataka elf 5 ya kununua zile nguo zao nyepesi nyepesi za kukatia mauno af unakuja kulalamika huku.
Pili, wanawake n rahisi kukopa lakn hela ikishaingia mfukoni mwao sio rahisi kulipa kbsaaa.
 
Mbaya zaidi sisi wengine huwa hatuna moyo wa kutaka malipo mbadala.

Mimi mwanamke nikimkopesha pesa yangu asitegemee atailipa kwa kunipa ****, lazima anilipe pesa yangu kama ilivyo no matter what.
 
Njmetoka kut#mba mke wa mtu nilimpa hela ya kutumia juzi mume wake yuko rufiji kikazi
 
Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
Mie nikimkoposha mtu tunaandikiana. Simkopeshi mtu pesa za kubwa bila kuandikiana na kuweka saini zetu. Kuna leo na kesho akija kufariki nawezaje kuzidai pesa zangu kwa familia yake bila ushahidi? Ukini kopi kielfu nakupa maana sio nyingi lakini pesa nyingi NO WAY!!!!
 
Mbaya zaidi sisi wengine huwa hatuna moyo wa kutaka malipo mbadala.

Mimi mwanamke nikimkopesha pesa yangu asitegemee atailipa kwa kunipa ****, lazima anilipe pesa yangu kama ilivyo no matter what.
Exactly! Sina tabia ya kununua **** na siko tayari kutoa pesa tele kwa jambo ambalo wife ananitunikia every day.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom